Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Nimefanya research kwa undani kuihusu na nimezungumza na Wahabeshi wengi sana kuihusu. Mimi mwenyewe nimetembea Ethiopia na kuongea na Wahabeshi kwa undani kuhusu mambo mengi including Gerd. Sawa wacha tungoje.Tujipe muda kama tulivyojipa katika uzi wa Amina vs Ngozi, nadhani sasa unajua nani aliyekua sahihi kati yetu [emoji23][emoji23][emoji23], hata katika hili ninauhakika utainamisha kichwa chini kama unavyoinamisha katika la WTO, maana sijakusikia ukisema chochote. [emoji56][emoji56][emoji56]