Mradi wa bomba la gesi asili toka Tanzania kwenda Kenya

Mradi wa bomba la gesi asili toka Tanzania kwenda Kenya

Unamaanisha nini kwa kusema "still not our money"? Kwani hio loan tutailipa kwa kutumia pesa yako? Mzee wewe umepungukiwa mahali. Wacha debate iishe. Sitajadili na mtu mwenye IQ ya kuku.

wewe unalalamika nn? kwavile nimeku-expose uwongo wa kudai mnajenga TL na pesa yenu sio? Ohk samahani!
 
mimi nina swali labda la kizushi. Hivi hizi lake gas/taifa gas/oryx wanatumia hii gas kutuuzia au wanaagiza nje?
 
Nimeshakueleza kuwa sitadebate na wewe kuhusu Gerd. Wacha tungoje
Sasa nimeanza kuelewa kwanini unakua mkali ninaposema kwamba hili bwawa halitozalisha umeme, kumbe upo na " interest", [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka tofautisha mamba mawili katika biashara ya gesi

1)Compressed gas = Hii ni lazima ujenge kiwanda kwa ajili ya kuigeuza iwe kwenye 'liquid form" iweze kuingia katika meli na mitungi midogo kwa kusafirishwa.

Hiki kiwanda pekee kinagharimu $30B, ndio mazungumzo yapo katika hatua za mwisho ili wawekezaji waanze kujenga hicho kiwanda huko Mtwara ili gesi yetu iweze kupelekwa nchi mbali mbali duniani.

Kutokana na uwekezaji wa pesa nyingi katika kujenga kiwanda, matokeo yake gharama ya gesi inakua juu sana kwa wananchi masikini kuweza kupikia majumbani

2)Non compressed= Hii gharama yake ni Kihinga bomba toka kwenye visima hadi majumbani, unatumia kama maji, bei yake ipo chini sana, wananchi wengi wanaweza kulipia.

Kiwanda cha kugeuza gesi kuwa maji ni biashara kubwa kwa hiyo ni private sector, lakini bomba la gesi zaidi ni serikali kwasababu ni sehemu ya huduma kama umeme na reli.
Hv majaribio ya huu mradi kule kusini yanaendeleaje?
 
Hv majaribio ya huu mradi kule kusini yanaendeleaje?
Huu mradi ni mkubwa sana, $30B kwa hapa Africa ni pesa nyingi Sana, sijawahi sikia mradi wowote mkubwa hapa Africa wenye kuzidi thamani ya hii, labda huo wa Msumbiji ambao hatima yake haina uhakika kutokana na hali ya usalama inavyozidi kuzorota.

Mazungumzo yanaendelea kati ya wawekezaji, serikali na Financers, lazima yatachukua muda mrefu kabla kila pande kujihakikishia kwamba maslahi yake yanalindwa kabla ya kujifunga katika mkataba mkubwa kiasi hiki. Ila tayari wawekezaji wameshakabidhiwa eneo na hati ya eneo hilo.
 
Hii gesi ambayo haijakuwa compressed inaweza kulipuka kama ile iliyo compressed kwenye mtungi au hii ni safe hailipuki?
Usichanganye madesa compressed gas ya kwenye LNG tanker ni tofauti na ya kwenye mitungi! Hii yetu hata Tanzania inauzwa pia kwenye mitungi japo serikali inajaribu kusambaza mabomba kwa final users!
 
Mnapeleka gesi Kenya kwani hapa kwetu tumesheka nayo wakati bei bado ya juu ngoja tuendelee kukata miti kutengeneza mkaa
 
Usichanganye madesa compressed gas ya kwenye LNG tanker ni tofauti na ya kwenye mitungi! Hii yetu hata Tanzania inauzwa pia kwenye mitungi japo serikali inajaribu kusambaza mabomba kwa final users!
Nina swali. Yale mitungi ya gesi ambayo Kenya ilizuia kuingia kutoka TZ ilikuwa gesi yenu au ilikuwa imported?
 
Nina swali. Yale mitungi ya gesi ambayo Kenya ilizuia kuingia kutoka TZ ilikuwa gesi yenu au ilikuwa imported?
Africa nzima hakuna kiwanda cha gas, kwahiyo gas yoyote iliyojazwa katika mitungi ni kutoka nje ya Africa.
 
Africa nzima hakuna kiwanda cha gas, kwahiyo gas yoyote iliyojazwa katika mitungi ni kutoka nje ya Africa.
Basi Kenya ilikuwa na haki ya kuzuia mitungi hiyo. Kulingana na sheria za EAC, nchi haistahili kuimport na kuuzia nchi jirani product bila kufanya value addition na nchi jirani ina haki ya kukataa kuingiza bidhaa hiyo au pia ina haki ya kuongeza ushuru katika bidhaa kama hizo. Hii ni kuzuia dumping of goods na kuprotect local industries
 
Africa nzima hakuna kiwanda cha gas, kwahiyo gas yoyote iliyojazwa katika mitungi ni kutoka nje ya Africa.
Nakumbuka kuna Wakati Kenya tulizuia sukari kutoka Uganda kuingia huku kwa sababu Uganda ilikuwa inaimport hio sukari kutoka Brasil na kujifanya eti wao wenyewe ndio wametengeneza sukari hio.
 
Africa nzima hakuna kiwanda cha gas, kwahiyo gas yoyote iliyojazwa katika mitungi ni kutoka nje ya Africa.
Wacha kuropoka wewe gesi ya TPDC inauzwa kwenye mitungi sema Africa nzima haina LNG/LPG plant kwa ajili ya ku-feed LNG/LPG tanker!

Production​

The most productive field is Songo Songo, operated by PanAfrican Energy Tanzania (PAET), which has an estimated 1trn cu feet of recoverable gas and was responsible for 85% of production in 2015. The field lies in the southern offshore zone and produces approximately 90m cu feet per day, of which around 40m cu feet per day is reserved for special contracts and the rest is sold to TANESCO, industries, households, institutions and vehicles.

In 2015 much of the production growth came from the Mnazi Bay concession, which is operated by France’s Maurel & Prom, with TPDC and Wentworth Resources, a Canadian firm, as equity partners. Mnazi Bay produces roughly 60m cu feet per day. Production increased from 783m cu feet in 2014 to 5.79bn cu feet in 2015, bolstered by a new pipeline from Mtwara to Dar es Salaam. Overall production figures for 2016 are set for a small increase when announced, as the year featured first gas from a third source, the Kiliwani North field, which is operated by Aminex. The field was producing at a rate of some 15m cu feet per day in 2016. Aminex’s contract with TPDC pays it $3 per million British thermal units (Btu).

Tanzania develops its natural gas potential and generation capacity
 
Wacha kuropoka wewe gesi ya TPDC inauzwa kwenye mitungi sema Africa nzima haina LNG/LPG plant kwa ajili ya ku-feed LNG/LPG tanker!
Kiwanda gani Tanzania kina uwezo wa kucompress gas hadi kuwa kwenye liquid form, kipo wapi hicho kiwanda na kinamilikiwa na nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiwanda gani Tanzania kina uwezo wa kucompress gas hadi kuwa kwenye liquid form, kipo wapi hicho kiwanda na kinamilikiwa na nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usichanganye vitu compression unayoongelea wewe ni ya ku-fill tankers at right pressure and temperature to enable easier long distance transport across the seas! Hiyo hatuna gesi tunayotumia haihitaji compression hiyo! Kuna mitambo midogo isiyopungua mitatu Songosongo, Mnazi bay na Kiliwani North inayo-process gas kabla ya kuisafirisha kwa bomba kwenda Dar!

TPDC wana-supply gesi majumbani pia japokuwa viwanda na Tanesco ndo wateja wao wakubwa! Jua maana ya compression kwanza na tofauti ya gesi inayojazwa kwenye LNG tanker na gesi hii tunayotumia Dar! Basically TPDC mode of business ime-concentrate from Upstream as shareholder and midstream (bulk distribution) so far hajaingia sana lowstream segment bado!

Kwa mawazo yako huu ni mtambo wa nn?
1500x500

ag4.png

ag5.png

ag6.png

Na umeelewa nini kwenye hii clip

Back
Top Bottom