Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Hata mimi sijui.Kuna uhusiano gani na kusema kwamba hili bomba ni muhimu sana kwa nchi ya Kenya?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi sijui.Kuna uhusiano gani na kusema kwamba hili bomba ni muhimu sana kwa nchi ya Kenya?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Stop acting up. My question was simple, straight and forward. Ulisema eti Kenya misitu inakatwa kwa kasi kwa sababu watu wengi wanategemea kuni na mkaa. Ndio maana nikakuuliza unipe taarifa kuhusu percentage ya watanzania wanaotunia kuni Kama primary source ya energy for cooking so that we can compare the same with Kenya. Ni kipi hujaelewa hapo?Nimeomba usaidizi, subiri utapata jibu, mimi sijakuelewa.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Tony254, unakumbuka nini niliandika ili kuonyesha kwamba bomba la gesi kwa Kenya ni muhimu na wewe ukaunga mkono kuonyesha umuhimu wa gesi kwa Kenya?.Stop acting up. My question was simple, straight and forward. Ulisema eti Kenya misitu inakatwa kwa kasi kwa sababu watu wengi wanategemea kuni na mkaa. Ndio maana nikakuuliza unipe taarifa kuhusu percentage ya watanzania wanaotunia kuni Kama primary source ya energy for cooking so that we can compare the same with Kenya. Ni kipi hujaelewa hapo?
Ndiyo maana joto la jiwe huwa anasema ww kdg unalingana na WaTz unlike ur fellow kunyans here.Hata mimi sijui.
Huyo ameumia ulipompa ukweli kuhusu matumizi yaliyopitiliza ya kuni kwa Wakenya [emoji3][emoji3]Tony254, unakumbuka nini niliandika ili kuonyesha kwamba bomba la gesi kwa Kenya ni muhimu na wewe ukaunga mkono kuonyesha umuhimu wa gesi kwa Kenya?.
Hii ndio shida tunayoipata kujadiliana na wakenya, nadhani hata wewe Tony254 unaanza kugundua ugumu uliopo ktk kujadiliana na hawa jamaa zako.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Njia bora na nafuu duniani kote ni kusambaza kwa njia ya bomba, tatizo ni kuifikisha katika masoko ya mbali ambako huko ndiko unakotumika kwa wingi, hapo ndio tunalazimika kutafuta wawekezaji ili wajenge kiwanda cha LNG ili iweze kusafirushwa kwenda Ulaya, China na Marekani.nlichokiona ad asiv wote mpo sawa maana mifumo yote inaweza kufanya kazi sawa tuu tofauti ni geographical and economical factors
af vipi tukiamua kusambaza gas kwa mabomba to nchi znazotuzunguka badala ya kusubiri lng plant=overseas)apa kiuchumi imekaaje?
kabisa sasa msituangushe tulijenge chapchap tuwape deal la LNG hapo Mombasa!Tanzania is actually aiming to transport their natural gas through Mombasa port. That`s the main reason for that pipeline.
I meant export but not transport.kabisa sasa msituangushe tulijenge chapchap tuwape deal!
Hahahaha, hahahaha, hahahaha, hapo ndipo ninapowapenda majirani zetu, by the way leo nimeamua kufunga ili kuungana na ninyi katika maombi [emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania is actually aiming to transport their natural gas through Mombasa port. That`s the main reason for that pipeline.
Kusambaza kwa mabomba nchi za jirani zote ... Hiyo gharama ya kujenga mabomba yote hayo haiwezi kutosha kujenga kiwanda cha LNG? Jus askingnlichokiona ad asiv wote mpo sawa maana mifumo yote inaweza kufanya kazi sawa tuu tofauti ni geographical and economical factors
af vipi tukiamua kusambaza gas kwa mabomba to nchi znazotuzunguka badala ya kusubiri lng plant=overseas)apa kiuchumi imekaaje?
Sawa sawa unalosema,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]I meant export but not transport.
Hahahaha, hahahaha, hahahaha, hapo ndipo ninapowapenda majirani zetu, by the way leo nimeamua kufunga ili kuungana na ninyi katika maombi![]()
![]()
![]()
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
YOu are actually exporting through Mombasa port.Sawa sawa unalosema,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ndumu unayovuta imefundikiwa chooni nini Anko?? Au umemix na miraa?Tanzania is actually aiming to export their natural gas through Mombasa port. That`s the main reason for that pipeline.
Kusambaza kwa mabomba nchi za jirani zote ... Hiyo gharama ya kujenga mabomba yote hayo haiwezi kutosha kujenga kiwanda cha LNG? Jus asking
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Sio hivyo tu, hata tukipewa bure hicho kiwanda cha LNG, gharama za kuitengeneza, kuisafirisha na kuhifadhi na kumfikisha mlaji ni ghali mno, zaidi ya LPG ambayo bado hiyo LPG waafrika wengi hawana uwezo wa kuitumia.LNG gharama yake ni $30 bln wkati mbomba la Uganda halizidi $3.5 bln wakati hili la Dar-Tanga-Mombasa ni $1 bln! Ujishughulishe kidogo kufanya research!
Kweli kabisa unalosema, vipi kuhusu maombi, yanaendelea?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]YOu are actually exporting through Mombasa port.
Ndumu unayovuta imefundikiwa chooni nini Anko?? Au umemix na miraa?
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Maombi ya nini?Kweli kabisa unalosema, vipi kuhusu maombi, yanaendelea?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app