FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hayo ya kuchelewa watajua wao, mi nataka kujua, crane la tani 26 liko wapi?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ya kuchelewa watajua wao, mi nataka kujua, crane la tani 26 liko wapi?!
HahahaHayo ya kuchelewa watajua wao, mi nataka kujua, crane la tani 26 liko wapi?!
Inatumia powerbank za solar..Sasa treni ya SGR itasukumwa na nini?
Ingawa unamawazo lakini hoja zako ni za kijinga , watu wanafia kwenye mic sembuse huyo aliye fia mikono mwa matibabu? Hakuwa mungu.propaganda zilipigwa mkajua mwendazake anashifa sana na ikulu kuna kiasi alikosea ila nia yake ya dhati kwenye nishati na miundo mbinu ili tujitegemee ilikuwa ni dhati kutoka moyoni kwa kifo chake ilitakiwa tuhoji kwa nini mtu aanze ziara halafu afe ghafla...
Acha uchizi mzee baba, unao ushahid wa hizo pesa kuliwa? Ama chuki znakusumbua.Mradi ulianza kitapeli, Kalemani na JPM walikata miti milioni moja, wakauza na Hela wamekula, nikisema miti, namaanisha Ile ambayo haijawahi kukatwa tangu dunia iumbwe
Upuuzi gani, fafanua tafadhaliDawa ya wapuuzi Egypt ni kusambaza maji ya ziwa Victoria nchi nzima ndio watie akili upuuzi walioufanya huko bwawa la Nyerere
kama jamaa angekuwa hai mpaka sahz mradi ungekuwa hatua za mwisho kabisa.Bila ngumi na makonde kuanzia huko mjengoni na kisha kwa wananchi has a kwa kuwatafuta USO kwa USO hao wakurugenzi na mawaziri wanabadiri gia kila uchwao
Wanagusa pale wanapaacha, kisha pale, kule na kule, ni kuwatwanga tuu ndipo tutasonga mbele
Mbona una hukumu bila maelezo.Na hiyo gas inayohitaji $30 milioni sijui hizo pesa zake wamezipata wapi, tunatakiwa tujue.
How I wish tungekuwa na kiongozi anayetumia akili yake hata kwa dakika moja tu kwa siku.
May be,lakini Dar Moro SGR haikumalizika wala kuanza kutumika.katika miaka 5 ya mjomba Magu.kama jamaa angekuwa hai mpaka sahz mradi ungekuwa hatua za mwisho kabisa.
Jamaa mwenyewe ndio yule Dialo alisema alikuwa na cheti cha mirembe au?kama jamaa angekuwa hai mpaka sahz mradi ungekuwa hatua za mwisho kabisa.
SolarSasa treni ya SGR itasukumwa na nini?
Nilikuwa natafuta tag to call huyu jamaa, maana aliongelea hii issue.
Kazi Ipo
Huyo huyo.Jamaa mwenyewe ndio yule Dialo alisema alikuwa na cheti cha mirembe au?
Haya mambo yanaenda kwa mikakati sana.Ndio mjue kuwa mjomba wa Msoga ndio karudi!!! Kisha fanikisha mwanae amekuwa naibu waziri ; sasa imebakia kumalizia ile miradi yake aliyosaini na kuipitisha bungeni kwa hati ya dharula wiki za mwisho za utawala wake; ambayo Jiwe aliipiga pini kwa harufu ya ufisadi!!