Mradi wa Bwawa la Nyerere(MW 2115) upo nyuma kwa asilimia 44, nguvu zimeelekezwa kwenye gesi (MW 1600)

Kiukweli inasikitisha sana mradi wa bwawa la Nyerere huenda usikamilike kabisa.

Mkurugenzi mkuu TANESCO, Mhe. Maharage Chande nilimsikia akisema kwa sasa wanaanza na kufunga mitambo kwa ajili ya umeme wa Gas ambao jumla utazalisha MW 1600.

Kwahiyo bwawa la Nyerere ambalo litazalisha MW 2115, hakuna uhakika wa lini utakamilika.

Hivi viwanda vya uchumi wa kati vitatumia huo wa Gas, hii ndiyo Tanzania.
Tuna waziri kilaza tokea aitoe kauli yake hii "zamani umeme ulikuwa haukatiki sababu kulikuwa hamna schedule maintenance " ni kaona hatuna waziri.Sijui katuona vilaza kama yeye. Hiko kijenereta ukiache kioperate kwa miezi kazaa bila maintenance lazima kibume.

Ila uzuri yy mwenyewe alikubali zamani umeme ulikuwa haukatika, alivyo ingia yy hizi ngonjera zimeanza mara schedule maintenance, mara wafanyakazi walikuwa wanashindwa kufanyakazi sababu walikuwa wanafokewa, mara crane la tani 27 hatuna, mara kakodi chopa kukagua vyanzo vya maji nk yaani upuuzi upuuzi mwingi vitendo hamna,mgao hauelewiki ni wa masaa mangapi na wa siku zipi.

Mimi naona bwawa hili waziri anataka kulipiga chini so alipige chini na ikiwezekana kabla hajalipiga chini awakabidhi watu wanao deal na maswala ya utalii liwe kama sehemu ya utalii na kivutio (makumbusho) ili turuhusiwe na familia zetu tukapige picha, inaweza kusaidia kurudisha gharama za ujenzi zilizo tumika kidogo kidogo na hao wakandarasi awaondoe awalipe hela yao,maisha ya endelee na waendelee kufanya watakacho.

Nchi tena ni yao wao na familia zao na sitegemi kilaza MWEZI WA KWANZA KUTUMBULIWA cha msingi tutafute Majenereta au solar maisha ya endelee.
 
Kiukweli inasikitisha sana mradi wa bwawa la Nyerere huenda usikamilike kabisa.

Mkurugenzi mkuu TANESCO, Mhe. Maharage Chande nilimsikia akisema kwa sasa wanaanza na kufunga mitambo kwa ajili ya umeme wa Gas ambao jumla utazalisha MW 1600.

Kwahiyo bwawa la Nyerere ambalo litazalisha MW 2115, hakuna uhakika wa lini utakamilika.

Hivi viwanda vya uchumi wa kati vitatumia huo wa Gas? Hii ndiyo Tanzania.
Kwa hiyo unashauri nini? Hivi ambae aliwajaza mavi vichwani ni nani?

Ukiacha makaa ya mawe ni nishati ipi inatumika na viwanda Duniani kote kama sio gas?.

Na ulivyo kiazi wewe mtoa mada na wajinga wenzako,hadi leo hii hujui kwamba 60% ya umeme wote wa Tzn unatokana na gas 😁😁

Pili msijidanganye kwamba eti Bwawa la Nyerere likikamilika ndio mtauziwa umeme Kwa bei ya bure,sahau,

tunza hii kauli yangu maana naona ushabiki maandazi umekomaa Sana.

By the way kwa mujibu wa Makamba Bungeni Jana amesema siku anaingia kazini alishaambiwa kwamba Bwawa la umeme limechelewa kwa siku zaidi ya 447,mwaka na zaidi.

Pili akawahoji kwamba how comes shida ya umeme iwe zigo la Waziri badala ya Nchi kutafuta namna nzuri ya kutatua matatizo?
 
Mradi ulianza kitapeli, Kalemani na JPM walikata miti milioni moja, wakauza na Hela wamekula, nikisema miti, namaanisha Ile ambayo haijawahi kukatwa tangu dunia iumbwe
Maneno ya kitoto sana haya,utajenga bila kusafisha site.
 
[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Kwa hiyo unashauri nini? Hivi ambae aliwajaza mavi vichwani ni nani?

Ukiacha makaa ya mawe ni nishati ipi inatumika na viwanda Duniani kote kama sio gas?.

Na ulivyo kiazi wewe mtoa mada na wajinga wenzako,hadi leo hii hujui kwamba 60% ya umeme wote wa Tzn unatokana na gas [emoji16][emoji16]

Pili msijidanganye kwamba eti Bwawa la Nyerere likikamilika ndio mtauziwa umeme Kwa bei ya bure,sahau,

tunza hii kauli yangu maana naona ushabiki maandazi umekomaa Sana.

By the way kwa mujibu wa Makamba Bungeni Jana amesema siku anaingia kazini alishaambiwa kwamba Bwawa la umeme limechelewa kwa siku zaidi ya 447,mwaka na zaidi.

Pili akawahoji kwamba how comes shida ya umeme iwe zigo la Waziri badala ya Nchi kutafuta namna nzuri ya kutatua matatizo?
Sijui nikutusi???
 
Mradi ulianza kitapeli, Kalemani na JPM walikata miti milioni moja, wakauza na Hela wamekula, nikisema miti, namaanisha Ile ambayo haijawahi kukatwa tangu dunia iumbwe
Watakuwa walipiga hela ndefu
Nalog off
 
Kwa hiyo unashauri nini? Hivi ambae aliwajaza mavi vichwani ni nani?

Ukiacha makaa ya mawe ni nishati ipi inatumika na viwanda Duniani kote kama sio gas?.

Na ulivyo kiazi wewe mtoa mada na wajinga wenzako,hadi leo hii hujui kwamba 60% ya umeme wote wa Tzn unatokana na gas 😁😁

Pili msijidanganye kwamba eti Bwawa la Nyerere likikamilika ndio mtauziwa umeme Kwa bei ya bure,sahau,

tunza hii kauli yangu maana naona ushabiki maandazi umekomaa Sana.

By the way kwa mujibu wa Makamba Bungeni Jana amesema siku anaingia kazini alishaambiwa kwamba Bwawa la umeme limechelewa kwa siku zaidi ya 447,mwaka na zaidi.

Pili akawahoji kwamba how comes shida ya umeme iwe zigo la Waziri badala ya Nchi kutafuta namna nzuri ya kutatua matatizo?
Suala la kwamba wasio na mabwawa wanatumia gas kama mbadala sio shida, shida ni kwa sisi wenye chanzo cha maji kuacha kuliendeleza kwa maendeleo yetu. Suala labei kutoshuka itakuwa ni siasa mbovu tu, ila ukweli ni kwamba umeme wa maji bi the cheapest, kumbuka gesi tunanunua, ipo kwetu ila sio yetu, ni ya miwekezaji, ila maji ni yetu, hatununui.

Tukamiishe hilo bwawa haraka iwezekanavyo.
 
Wakati mwingine mawaziri wawe wanaheshimu akili za raia. Yaani Makamba anatuambia uwongo wa wazi kama vile sote ni wajinga hatujui mifumo ya ugavi wa umeme?

Tanzania tunaliwa sana sasa hivi. Yaani miaka mitano ya utawala wa magufuli kweli umeua transformer zote kwenye substations zote zinahitajiwa mpya, porcelain insulators zote za kwenye transmission line zote zimepasuka pasuka zinahitajiwa kuwekwa mpya. Na hata zile aluminium conductors hazifai kwa vile hazikufunikwa, itabidi tuwekewe mpya ziliziofunikwa. maajabu kweli haya.

Majibu ya Makamba kwenye clip wanaleta maswali zaidi. Tanesco au Makamba mnijibu haya.

Hiyo miaka mitano iliyopita mvua zilikuwa hazinyeshi na kusababisha short circuit?

Je awamu ya tano hapakuwa na upepo?

Hivyo vikombe vimepasuka awamu ya sita?

Hizo nyaya za ubungo substation hazikuwa insulated toka awamu zote, kwanini zilete shoti awamu ya sita na si ya tano?

Ni nani aliplan na kufunga njia za umeme kwa umbali mrefu na kwa kiwango duni tofauti na standards? Hatua gani mtazichukua kwa waliofanya hivyo?

Mwisho, hizo Dola 1b za ukarabati ni balaa tupu.
 
Kwa hiyo unashauri nini? Hivi ambae aliwajaza mavi vichwani ni nani?

Ukiacha makaa ya mawe ni nishati ipi inatumika na viwanda Duniani kote kama sio gas?.

Na ulivyo kiazi wewe mtoa mada na wajinga wenzako,hadi leo hii hujui kwamba 60% ya umeme wote wa Tzn unatokana na gas [emoji16][emoji16]

Pili msijidanganye kwamba eti Bwawa la Nyerere likikamilika ndio mtauziwa umeme Kwa bei ya bure,sahau,

tunza hii kauli yangu maana naona ushabiki maandazi umekomaa Sana.

By the way kwa mujibu wa Makamba Bungeni Jana amesema siku anaingia kazini alishaambiwa kwamba Bwawa la umeme limechelewa kwa siku zaidi ya 447,mwaka na zaidi.

Pili akawahoji kwamba how comes shida ya umeme iwe zigo la Waziri badala ya Nchi kutafuta namna nzuri ya kutatua matatizo?

Mkuu uko sahihi wewe sio mjinga, ni mpumbavu…
 
Kiukweli inasikitisha sana mradi wa bwawa la Nyerere huenda usikamilike kabisa.

Mkurugenzi mkuu TANESCO, Mhe. Maharage Chande nilimsikia akisema kwa sasa wanaanza na kufunga mitambo kwa ajili ya umeme wa Gas ambao jumla utazalisha MW 1600.

Kwahiyo bwawa la Nyerere ambalo litazalisha MW 2115, hakuna uhakika wa lini utakamilika.

Hivi viwanda vya uchumi wa kati vitatumia huo wa Gas? Hii ndiyo Tanzania.
Jamani dah

Ila IPO siku tu wataumbuka na kufa wao na vizazi vyao
 
Na hiyo gas inayohitaji $30 milioni sijui hizo pesa zake wamezipata wapi, tunatakiwa tujue, na kama ni za mkopo zina masharti gani tuambiwe.

How I wish tungekuwa na kiongozi anayetumia akili yake hata kwa dakika moja tu kwa siku.
Beberu Hana tatizo na pesa pesa anyo ilimradi atimize malengo
 
Wakati mwingine mawaziri wawe wanaheshimu akili za raia. Yaani Makamba anatuambia uwongo wa wazi kama vile sote ni wajinga hatujui mifumo ya ugavi wa umeme?

Tanzania tunaliwa sana sasa hivi. Yaani miaka mitano ya utawala wa magufuli kweli umeua transformer zote kwenye substations zote zinahitajiwa mpya, porcelain insulators zote za kwenye transmission line zote zimepasuka pasuka zinahitajiwa kuwekwa mpya. Na hata zile aluminium conductors hazifai kwa vile hazikufunikwa, itabidi tuwekewe mpya ziliziofunikwa. maajabu kweli haya.

Jamaa liongo liongo sana aisee,kila siku hadithi mpya.
Hapo anamanisha mgao hauishi leo wala kesho.
 
Mradi ulianza kitapeli, Kalemani na JPM walikata miti milioni moja, wakauza na Hela wamekula, nikisema miti, namaanisha Ile ambayo haijawahi kukatwa tangu dunia iumbwe
Waafrika tuna tabu sana. Kuchelewa kwa mradi kuna sababu zake. Diversion iliharibika sababu ya mafuriko. Kwahiyo sio issue ya kuanza kulialia kama vile watoto wasio na wazazi.
Hela imekopwa tutalipa wote, halafu unauita mradi wa Kalemani na JPM? Huu mradi wana siasa wanataka uendeleee kweli?
Mbona kila kitu kimya? Maji yameshaanza kujazwa kwenye bwawa? Kuna nini kinaendelea?
 
Kiukweli inasikitisha sana mradi wa bwawa la Nyerere huenda usikamilike kabisa.

Mkurugenzi mkuu TANESCO, Mhe. Maharage Chande nilimsikia akisema kwa sasa wanaanza na kufunga mitambo kwa ajili ya umeme wa Gas ambao jumla utazalisha MW 1600.

Kwahiyo bwawa la Nyerere ambalo litazalisha MW 2115, hakuna uhakika wa lini utakamilika.

Hivi viwanda vya uchumi wa kati vitatumia huo wa Gas? Hii ndiyo Tanzania.
This has been well planned....ili mradi tu ule mradi usionekane una manufaa
 
Ujio wa makamba kama waziri hili lilijulikana, 'msoga' haikumaliza mission yake ktk gas na sasa ndio inamalizia kupitia huyu mtu!
 
Back
Top Bottom