Mradi wa Bwawa la Nyerere(MW 2115) upo nyuma kwa asilimia 44, nguvu zimeelekezwa kwenye gesi (MW 1600)

Ingawa unamawazo lakini hoja zako ni za kijinga , watu wanafia kwenye mic sembuse huyo aliye fia mikono mwa matibabu? Hakuwa mungu.
 
Mradi ulianza kitapeli, Kalemani na JPM walikata miti milioni moja, wakauza na Hela wamekula, nikisema miti, namaanisha Ile ambayo haijawahi kukatwa tangu dunia iumbwe
Acha uchizi mzee baba, unao ushahid wa hizo pesa kuliwa? Ama chuki znakusumbua.

Alafu hiyo misitu inawanufaisha vip waTz kiasi kwamba izuie mradi mkubwa kujengwa?

Una elimu gani aisee, hujui ktk maendeleo kuna kusacrifice kitu kidogo ili kizae kikubwa.

Endelea na mindset za kupinga kila jambo bila facts.
 
Dawa ya wapuuzi Egypt ni kusambaza maji ya ziwa Victoria nchi nzima ndio watie akili upuuzi walioufanya huko bwawa la Nyerere
 
Bila ngumi na makonde kuanzia huko mjengoni na kisha kwa wananchi has a kwa kuwatafuta USO kwa USO hao wakurugenzi na mawaziri wanabadiri gia kila uchwao

Wanagusa pale wanapaacha, kisha pale, kule na kule, ni kuwatwanga tuu ndipo tutasonga mbele
 
Bila ngumi na makonde kuanzia huko mjengoni na kisha kwa wananchi has a kwa kuwatafuta USO kwa USO hao wakurugenzi na mawaziri wanabadiri gia kila uchwao

Wanagusa pale wanapaacha, kisha pale, kule na kule, ni kuwatwanga tuu ndipo tutasonga mbele
kama jamaa angekuwa hai mpaka sahz mradi ungekuwa hatua za mwisho kabisa.
 
Na hiyo gas inayohitaji $30 milioni sijui hizo pesa zake wamezipata wapi, tunatakiwa tujue.

How I wish tungekuwa na kiongozi anayetumia akili yake hata kwa dakika moja tu kwa siku.
Mbona una hukumu bila maelezo.
 
Haya mambo yanaenda kwa mikakati sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…