Tuna waziri kilaza tokea aitoe kauli yake hii "zamani umeme ulikuwa haukatiki sababu kulikuwa hamna schedule maintenance " ni kaona hatuna waziri.Sijui katuona vilaza kama yeye. Hiko kijenereta ukiache kioperate kwa miezi kazaa bila maintenance lazima kibume.Kiukweli inasikitisha sana mradi wa bwawa la Nyerere huenda usikamilike kabisa.
Mkurugenzi mkuu TANESCO, Mhe. Maharage Chande nilimsikia akisema kwa sasa wanaanza na kufunga mitambo kwa ajili ya umeme wa Gas ambao jumla utazalisha MW 1600.
Kwahiyo bwawa la Nyerere ambalo litazalisha MW 2115, hakuna uhakika wa lini utakamilika.
Hivi viwanda vya uchumi wa kati vitatumia huo wa Gas, hii ndiyo Tanzania.
Kwa hiyo unashauri nini? Hivi ambae aliwajaza mavi vichwani ni nani?Kiukweli inasikitisha sana mradi wa bwawa la Nyerere huenda usikamilike kabisa.
Mkurugenzi mkuu TANESCO, Mhe. Maharage Chande nilimsikia akisema kwa sasa wanaanza na kufunga mitambo kwa ajili ya umeme wa Gas ambao jumla utazalisha MW 1600.
Kwahiyo bwawa la Nyerere ambalo litazalisha MW 2115, hakuna uhakika wa lini utakamilika.
Hivi viwanda vya uchumi wa kati vitatumia huo wa Gas? Hii ndiyo Tanzania.
Maneno ya kitoto sana haya,utajenga bila kusafisha site.Mradi ulianza kitapeli, Kalemani na JPM walikata miti milioni moja, wakauza na Hela wamekula, nikisema miti, namaanisha Ile ambayo haijawahi kukatwa tangu dunia iumbwe
Sijui nikutusi???Kwa hiyo unashauri nini? Hivi ambae aliwajaza mavi vichwani ni nani?
Ukiacha makaa ya mawe ni nishati ipi inatumika na viwanda Duniani kote kama sio gas?.
Na ulivyo kiazi wewe mtoa mada na wajinga wenzako,hadi leo hii hujui kwamba 60% ya umeme wote wa Tzn unatokana na gas [emoji16][emoji16]
Pili msijidanganye kwamba eti Bwawa la Nyerere likikamilika ndio mtauziwa umeme Kwa bei ya bure,sahau,
tunza hii kauli yangu maana naona ushabiki maandazi umekomaa Sana.
By the way kwa mujibu wa Makamba Bungeni Jana amesema siku anaingia kazini alishaambiwa kwamba Bwawa la umeme limechelewa kwa siku zaidi ya 447,mwaka na zaidi.
Pili akawahoji kwamba how comes shida ya umeme iwe zigo la Waziri badala ya Nchi kutafuta namna nzuri ya kutatua matatizo?
Watakuwa walipiga hela ndefuMradi ulianza kitapeli, Kalemani na JPM walikata miti milioni moja, wakauza na Hela wamekula, nikisema miti, namaanisha Ile ambayo haijawahi kukatwa tangu dunia iumbwe
Suala la kwamba wasio na mabwawa wanatumia gas kama mbadala sio shida, shida ni kwa sisi wenye chanzo cha maji kuacha kuliendeleza kwa maendeleo yetu. Suala labei kutoshuka itakuwa ni siasa mbovu tu, ila ukweli ni kwamba umeme wa maji bi the cheapest, kumbuka gesi tunanunua, ipo kwetu ila sio yetu, ni ya miwekezaji, ila maji ni yetu, hatununui.Kwa hiyo unashauri nini? Hivi ambae aliwajaza mavi vichwani ni nani?
Ukiacha makaa ya mawe ni nishati ipi inatumika na viwanda Duniani kote kama sio gas?.
Na ulivyo kiazi wewe mtoa mada na wajinga wenzako,hadi leo hii hujui kwamba 60% ya umeme wote wa Tzn unatokana na gas 😁😁
Pili msijidanganye kwamba eti Bwawa la Nyerere likikamilika ndio mtauziwa umeme Kwa bei ya bure,sahau,
tunza hii kauli yangu maana naona ushabiki maandazi umekomaa Sana.
By the way kwa mujibu wa Makamba Bungeni Jana amesema siku anaingia kazini alishaambiwa kwamba Bwawa la umeme limechelewa kwa siku zaidi ya 447,mwaka na zaidi.
Pili akawahoji kwamba how comes shida ya umeme iwe zigo la Waziri badala ya Nchi kutafuta namna nzuri ya kutatua matatizo?
Majibu ya Makamba kwenye clip wanaleta maswali zaidi. Tanesco au Makamba mnijibu haya.Wakati mwingine mawaziri wawe wanaheshimu akili za raia. Yaani Makamba anatuambia uwongo wa wazi kama vile sote ni wajinga hatujui mifumo ya ugavi wa umeme?
Tanzania tunaliwa sana sasa hivi. Yaani miaka mitano ya utawala wa magufuli kweli umeua transformer zote kwenye substations zote zinahitajiwa mpya, porcelain insulators zote za kwenye transmission line zote zimepasuka pasuka zinahitajiwa kuwekwa mpya. Na hata zile aluminium conductors hazifai kwa vile hazikufunikwa, itabidi tuwekewe mpya ziliziofunikwa. maajabu kweli haya.
Kwa hiyo unashauri nini? Hivi ambae aliwajaza mavi vichwani ni nani?
Ukiacha makaa ya mawe ni nishati ipi inatumika na viwanda Duniani kote kama sio gas?.
Na ulivyo kiazi wewe mtoa mada na wajinga wenzako,hadi leo hii hujui kwamba 60% ya umeme wote wa Tzn unatokana na gas [emoji16][emoji16]
Pili msijidanganye kwamba eti Bwawa la Nyerere likikamilika ndio mtauziwa umeme Kwa bei ya bure,sahau,
tunza hii kauli yangu maana naona ushabiki maandazi umekomaa Sana.
By the way kwa mujibu wa Makamba Bungeni Jana amesema siku anaingia kazini alishaambiwa kwamba Bwawa la umeme limechelewa kwa siku zaidi ya 447,mwaka na zaidi.
Pili akawahoji kwamba how comes shida ya umeme iwe zigo la Waziri badala ya Nchi kutafuta namna nzuri ya kutatua matatizo?
Jamani dahKiukweli inasikitisha sana mradi wa bwawa la Nyerere huenda usikamilike kabisa.
Mkurugenzi mkuu TANESCO, Mhe. Maharage Chande nilimsikia akisema kwa sasa wanaanza na kufunga mitambo kwa ajili ya umeme wa Gas ambao jumla utazalisha MW 1600.
Kwahiyo bwawa la Nyerere ambalo litazalisha MW 2115, hakuna uhakika wa lini utakamilika.
Hivi viwanda vya uchumi wa kati vitatumia huo wa Gas? Hii ndiyo Tanzania.
Beberu Hana tatizo na pesa pesa anyo ilimradi atimize malengoNa hiyo gas inayohitaji $30 milioni sijui hizo pesa zake wamezipata wapi, tunatakiwa tujue, na kama ni za mkopo zina masharti gani tuambiwe.
How I wish tungekuwa na kiongozi anayetumia akili yake hata kwa dakika moja tu kwa siku.
Jamaa liongo liongo sana aisee,kila siku hadithi mpya.Wakati mwingine mawaziri wawe wanaheshimu akili za raia. Yaani Makamba anatuambia uwongo wa wazi kama vile sote ni wajinga hatujui mifumo ya ugavi wa umeme?
Tanzania tunaliwa sana sasa hivi. Yaani miaka mitano ya utawala wa magufuli kweli umeua transformer zote kwenye substations zote zinahitajiwa mpya, porcelain insulators zote za kwenye transmission line zote zimepasuka pasuka zinahitajiwa kuwekwa mpya. Na hata zile aluminium conductors hazifai kwa vile hazikufunikwa, itabidi tuwekewe mpya ziliziofunikwa. maajabu kweli haya.
Waafrika tuna tabu sana. Kuchelewa kwa mradi kuna sababu zake. Diversion iliharibika sababu ya mafuriko. Kwahiyo sio issue ya kuanza kulialia kama vile watoto wasio na wazazi.Mradi ulianza kitapeli, Kalemani na JPM walikata miti milioni moja, wakauza na Hela wamekula, nikisema miti, namaanisha Ile ambayo haijawahi kukatwa tangu dunia iumbwe
Uongo haujawahi kumsitiri mtu. Ipo siku uongo huo huo utazamisha ndoto kubwa bila kutarajiaJamaa liongo liongo sana aisee,kila siku hadithi mpya.
Hapo anamanisha mgao hauishi leo wala kesho.
This has been well planned....ili mradi tu ule mradi usionekane una manufaaKiukweli inasikitisha sana mradi wa bwawa la Nyerere huenda usikamilike kabisa.