Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Salaam wanajukwaa,
Hii nchi imejaa usanii mtupu vyuo vikuu vinacheza na serikali na donors hasa wadau wa maendeleo.
Mpwayungu aliwavagaa walimu leo imeenda huko vyuo vikuu wanatengeza mitaala kwa kukaa maofisini, wanabuni masomo kwa hisia zao kihuni tu, hawafuati hatua stahiki, malecturers wengi hawana maarifa ya uandaaji wa mitaala vikao vya TCU vinaishia kwenye Ndaki na wakuu wa idara mamia ya malecturers hawajui kitu ndani ya mitaala, seminar zinaendeshwa za capacity building za kipuuzi, facilitators wengi vilaza, hawana maandalizi ya maana, na kamati zao very incompetent, disorganized committee, maazimio hakuna ni upumbavu tu.
Everything is shit hii nchi ya kipuuzi sana, udikteta umetamalaki kila kitu, unaunda masomo na deadlines kabla ya inputs za tracer study na labour market needs assessment, watu hawqju competencies ni nini, learning outcomes ni nini, benchmarking ni nini? Bloom taxonomy ni nini na tafsiri ya kila stage zake?
Aibu aibu , nawapongeza sana UDSM inapokuja kwenye taaluma hawana kudharauliana kabisa.
Kwanini UDSM haichukuliwi kama control point au benchmarking institution kwa Tanzania hasa hivi vyuo vikuu vya umma.
Prof.Mkenda kwenye hili swala la HEET bila kuwa mkali mitaala itaundwa fake na grievances zitakuwa nyingi sana. Mambo hayaendi watu wanakula pesa tu malecturers wanaburuzwa tu.
Wenyewe ni waoga acha tuwasemee maana wanatuhadithia wenyewe anaebisha ntataja taasisi yake na hizo Industry Advisory Committee za kijumla jumla, Professor Mkenda tafakari sana.
Mnaacha kuweka Advisory Committee katika level ya Ndaki ama colleges mnajitengenezea ulaji na Waziri anawaangalia tu.
Wenye hasira nipo Dodoma jioni ya Leo ntakuwa Royal Village Counter ntavaa jezi ya Simba SC namba 4 ya Baleke.
Vyuo vikuu vimejaa uzuzu na ubazazi nimemaliza.
Ndimi mjasiliamali kilaka kwenye anga zote.
Wadiz wa JamiiForums