Mradi wa Kufua Umeme Rufiji (MW 2115) uchimbaji kina cha lango la kuingilia maji kwenye mitambo wakamilika

Uchumi unalegezwaje mkuu?
Ebu tupatie darsa na sisi wengine tufaidike na Uzi wako.
 
m
Mkuu wengine humu si wa nchi hii. Hivyo usipoteza muda kulumbana nao ni wivu tu unawasumbua.
 
Megawatts 3000 hazitotosha ku-run full fledged industrial economy. Modern industrial economies comes with a lot of automation, mechanization and high use robots.
Viwanda vya cement, metalurgical, copper and gold smelting just to mention few, uses a lot of energy in comparison to industries like food processing.
Cha msingi tu tusibweteke. Uwekezaji kwenye vyanzo vingine kama gas, coal, geo-thermal, wind, solar n.k. lazima uendelee. Bila kusahau strategic project like Mchuchuma and Liganga and last but not the least, Malagarasi Hydro-power. And this is so important bacause most of the power generation sources are on the eastern part of the country.
 
MAJI MNAYO LAKINIII AU MTAOMBA KWA MUNGU BABA AJAZE HILO BWAWA!???
 
Angalau tumeanza kazi, huu nao ni uthubutu kuliko hali ya kuacha vitu kwenye makabrasha tu.
 
Very positive.
Ushauri mzuri sana na wa kutia moyo.
 
Nyinyi husapot kila kitu mwisho was siku nchi ni shit hole !!!! Chadema hupingwa kwakua huona mbali ?!?? Hivi tren ya moshi IPO!????
Haipo kwasababu rahisi Sanaa ambazo hata treni ya mpanda haikuwepo kwa muda na Sasa inapitika mbona unagusia vitu rahisi Sana kwenye reli hasa hii meter gauge hakishindikani kitu semea SGR kidogo naweza kukuelewa. Narudia nakupa siku 12 tu treni ya Moshi inaendelea.
 
Bei ya umeme itashuka?
Gesi tumeambiwa ni ya mabeberu.
 
 
Sijakataa hiyo njia mbadala wa kuzalisha umeme... Nimewaza tu kwamba teknolojia ya matumizi ya maji ni ya kizamani na matumizi ya Gesi Ni ya kisasa zaidi...
Uendeshaji ni gharama nafuu kuliko gas na njia nyingine
 
Muwakumbuke na Wafanyakazi sasa. Yale madaraja yao yapande kwa wakati. Miaka zaidi ya 5 ya kuwaumiza kwa kisingizio cha kujenga hiyo miradi, inatosha. Na wenyewe wangependa waishi maisha bora kama wengine.
Kwa awamu hii wasahau, wasubirie akiingia mwingine
 
Huu mradi Rais ajaye ataupiga chini maana ni kazi bure
Miradi mipya na kuitupa ya watangulizi wao bila kuukamilisha ni sehemu ya watawala kutakatishia Kodi zetu,maana kila ajae utamani awe tajiri wa kwanza wa dunia kupitia Kodi zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…