Mradi wa kuuza tofal wa halmashauri ya Arusha Dc umefeli vibaya madiwani waawajibishwe kwa kusababishia serekali hasara

Mradi wa kuuza tofal wa halmashauri ya Arusha Dc umefeli vibaya madiwani waawajibishwe kwa kusababishia serekali hasara

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Niko ziara ya kikaz mkoa wa arusha na nikatembele arusha Dc ndipo nikabaini upigaji wa kutisha kwenye mradi mmoja wa ufwetuaji wa tofauli za bloku

Kwanz nimebaini kuwa waliuziwa mtambo kwa bei ya juu ambao hadi sas hv haufanyi kaz tayari imearibika walinunua zaid ya milion. 120 mtambo ambao bei ya sokoni ni milion 20 tu unapata mpya

Kwanza nani aliwaambia madiwani kuwa mradi wa kupiga pesa utaingizia halmashuri mapato kama siyo upigaji huo wa kutisha mwenyekiti wa Council, madiwani, mkurugenzi na mchumi wa halmashauri wakamatwe haraka sna na kurudisha parent walio kula kuleta mradi wa hvyo

Namuomba mkuu wa mkoa atembeelee mradi huo na kuagiza wahusika wakamatwe na wafikishwe mahakamani kwa kuisabishia serekali hasara kubwa namna hyo

Mradi upo kata ya mlangarin katika viwanja vya pita redding kituo kinachoitwa kwa Roberth
 

Attachments

  • DSC_0253.JPG
    DSC_0253.JPG
    3.8 MB · Views: 4
"Mbwa kumng'atà binadamu sio habari, ila ikiwa kinyume chake ndio habari".

Kama huo mradi ulioanzishwa na wapigaji wa ccm ungefanikiwa ingeshangaza sana..!
Kufilisika ni jambo lililotegemewa wakati ulipobuniwa.
 
Back
Top Bottom