Yaani anadhani hao waarabu wanaweza kuwapenda watanzaniaShabiby na Abood ndio umewaona wanaweza pekee kuendesha? kisa wana mabasi? Mentality za salavery model of Productions,
Kwani hao Waarabu Siyo wa-Tanzania??Yaani anadhani hao waarabu wanaweza kuwapenda watanzania
Kwamba hakuna wazawa wa kuendesha huu mradi mpaka tukimbilie waarabu?Kwani hao Waarabu Siyo wa-Tanzania??
Nadhani tunapaswa kutoa Hoja zenye mashiko, siyo kutoa kebehi na dharau kama hizi.
Tatizo kubwa lililopo kwenye huu Mradi nafikiri ni suala la ukosefu wa Management nzuri katika kuusimamia.Serikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?
Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi, Kodi, vipuli, uchakavu na matengenezo) za uendeshaji kisha wachaji abiria kwa uhalisia.
Pale Ethiopia mabasi ya umma watu wote hata wanafunzi na askari wanalipa sawa. Kule ulaya na Marekani hivyohivyo ila wanafunzi Kuna namna wanavyolipiwa usafiri wao.
Hata hao Waarabu nao pia ni Wazawa. Kwani Nini maana ya neno "Wazawa"?Kwamba hakuna wazawa wa kuendesha huu mradi mpaka tukimbilie waarabu?
Hata hao Waarabu nao pia ni Wazawa. Kwani Nini maana ya neno "Wazawa"?Kwamba hakuna wazawa wa kuendesha huu mradi mpaka tukimbilie waarabu?
Mkuu kama ni wazawa ni ukoo wa nani hao?Hata hao Waarabu nao pia ni Wazawa. Kwani Nini maana ya neno "Wazawa"?
Hoja ya msingi ni kwamba wanatakiwa watafutwe watu sahihi watakaoweza kuuendesha mradi huo vizuri zaidi na kwa ufanisi mkubwa wenye kuleta tija.
Mradi huo akabidhiwe mtu yoyote yule ambaye mwenye uwezo mkubwa wa kuuendesha na Kusimamia vizuri zaidi, regardless of his skin color.
Jibu Kwanza swali langu: Je, Nini maana ya neno "Wazawa."????????¿?????????Mkuu kama ni wazawa ni ukoo wa nani hao?
Ni watu wenye asili ya Tanzania na chimbuko lao ni hapa, hao wengine ni waarabu wana uraia wa nchi 2Jibu Kwanza swali langu: Je, Nini maana ya neno "Wazawa."????????¿?????????
Wanawezaje kumaintain uraia wa nchi nyingi bila malaka zetu kujua?Ni watu wenye asili ya Tanzania na chimbuko lao ni hapa, hao wengine ni waarabu wana uraia wa nchi 2
Wenye lugha yako mara nyingi ni wageni Tanzania hii.Yaani anadhani hao waarabu wanaweza kuwapenda watanzania
Wenye lugha yako mara nyingi ni wageni Tanzania hii.Yaani anadhani hao waarabu wanaweza kuwapenda watanzania
Wewe ukoo wa nani?Mkuu kama ni wazawa ni ukoo wa nani hao?
Kweli Hawa watanganyika Wana uxoefu,Wana menejiment,Wana karakana,Wana fedha,wakipata faida wataireinvest na hakuna ubishi SCR itawaobsolete wao na wengine wapewe,wapeweSerikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?
Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi, Kodi, vipuli, uchakavu na matengenezo) za uendeshaji kisha wachaji abiria kwa uhalisia.
Pale Ethiopia mabasi ya umma watu wote hata wanafunzi na askari wanalipa sawa. Kule ulaya na Marekani hivyohivyo ila wanafunzi Kuna namna wanavyolipiwa usafiri wao.
Kipi mswahili amewahi Fanya kwa ufanisi bila hao watz weupe kuwapo tusingepata hata Kodi za kuendesha nchi.Hapana huu mradi wapewe wazawa wazalendo na siyo hao waarabu