Mradi wa mabasi ya haraka BRT-UDAT wapewe akina Shabiby na Abood wauendeshe kwa faida

Kipi mswahili amewahi Fanya kwa ufanisi bila hao watz weupe kuwapo tusingepata hata Kodi za kuendesha nchi.
70 ya mapato ya Kodi uchangiwa na hao
UONGO
Kama vipo vitu vingi mswahili amefanya na vikafanikiwa, na vipo vingi wamefanya hao weupe vikafeli hapa Tz
 
Mradi ukiendeshwa kisiasa hasa Africa ni hatari sana. Wale jamaa "unanijua mimi ni nani wanajikita pale". Huu mradi una faida kubwa sana ila basi tu. Hivi aliyetoa wazo makao makuu yawe pale jangwani bado yupo? Anapumua kwa raha zake. Angekuwa China sijui ingekuwaje!
 
Wabongo tuna ujuaji sana
Unamaanisha China or any other developed countries hawafanyi makosa kama Yale? Na wanaofanya wananyongwa? Acha uongo
 
Mradi ukiendeshwa kisiasa hasa Africa ni hatari sana. Wale jamaa "unanijua mimi ni nani wanajikita pale". Huu mradi una faida kubwa sana ila basi tu. Hivi aliyetoa wazo makao makuu yawe pale jangwani bado yupo? Anapumua kwa raha zake. Angekuwa China sijui ingekuwaje!
JK
 
Hata wawe na uraia wa nchi sita hatujali maadamu umuhimu wao kwa nchi.
Nchi zingine ukiwa mfanyabiashara mkubwa wanakuwa uraia kabisa walishatoka kwenye mambo ya uraia au si raia.
Mtu kama Dangote anapewa uraia
Nchi hii hakuna ufisadi unafanyika bila kuwamo wahindi au waarabu
 
Back
Top Bottom