Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Walijengewa na serikali zaoKwao hao weupe walijengewa na nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walijengewa na serikali zaoKwao hao weupe walijengewa na nani
Ajuza leo umetoa wapi bando?Wenye lugha yako mara nyingi ni wageni Tanzania hii.
Wewe kwenu wapi?
Serikali imejaa mafisadi haswaLabda itangazwe kuwa kampuni binafsi tu na wao watakaochukua walipe kodi tu
Ingawa hata hizo kodi zitapigwa
Yaani mnatufanya tushindwe hata kuwaza kuwa kwanini nyie mshindwe kuendesha miradi yenu mpaka mtegemee hao?
Jibu lipo ni upigaji wa kijinga
Kila mahali upigaji mpaka unaona tufungue chuo cha kwanza cha wizi nchiniSerikali imejaa mafisadi haswa
Jibu na swali havilingani mkuuMarehemu Manji hakuwa na uraia wa Marekani? wenzetu nchi zao zinaruhusu kuwa na uraia wa nchi mbili
Hata hyo sgr wameeanza kwa mbwembwe mbeleni chaliiKila mahali upigaji mpaka unaona tufungue chuo cha kwanza cha wizi nchini
Wahuni hawaSerikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?
Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi, Kodi, vipuli, uchakavu na matengenezo) za uendeshaji kisha wachaji abiria kwa uhalisia.
Pale Ethiopia mabasi ya umma watu wote hata wanafunzi na askari wanalipa sawa. Kule ulaya na Marekani hivyohivyo ila wanafunzi Kuna namna wanavyolipiwa usafiri wao.
Kwani hujui ka mwarabu wa Misri ashatoa mzigo wake ndo unaojenga barabara za mwendo kasi??Serikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?
Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi, Kodi, vipuli, uchakavu na matengenezo) za uendeshaji kisha wachaji abiria kwa uhalisia.
Pale Ethiopia mabasi ya umma watu wote hata wanafunzi na askari wanalipa sawa. Kule ulaya na Marekani hivyohivyo ila wanafunzi Kuna namna wanavyolipiwa usafiri wao.
Ni kweli kabisa na wataiba mpaka wakose ya kuendesheaHata hyo sgr wameeanza kwa mbwembwe mbeleni chalii
Ova
Hata serikali wapewe haohao maana haina maarifa ya usimamiziSerikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?
Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi, Kodi, vipuli, uchakavu na matengenezo) za uendeshaji kisha wachaji abiria kwa uhalisia.
Pale Ethiopia mabasi ya umma watu wote hata wanafunzi na askari wanalipa sawa. Kule ulaya na Marekani hivyohivyo ila wanafunzi Kuna namna wanavyolipiwa usafiri wao.
Hawa weupe wa ndani jeWalijengewa na serikali zao
Inaonekana hata Historia umefeli, kama unataka watu wenye asili ya Tanzania wengi wetu miaka elfu kadhaa iliopita hakukua na mababu zetu Tanzania.Mkuu kama ni wazawa ni ukoo wa nani hao?
Magari lazima yaende kwa ratiba na wakati maalumu ili abiria wafike wanakokwenda kwa wakati. Mtu lazima ajue ili nifike muhimbili saa 2 asubuhi nipande basi la saa ngapi hapa kwenye kituo cha banana-Ukonga. Sio hii vuruvuru ya sasa hivi ambayo hujui gari itafika saa ngapi kituo x na itafika kituo y muda gani.Hata hao Waarabu nao pia ni Wazawa. Kwani Nini maana ya neno "Wazawa"?
Hoja ya msingi ni kwamba wanatakiwa watafutwe watu sahihi watakaoweza kuuendesha mradi huo vizuri zaidi na kwa ufanisi mkubwa wenye kuleta tija.
Mradi huo akabidhiwe mtu yoyote yule ambaye mwenye uwezo mkubwa wa kuuendesha na Kusimamia vizuri zaidi, regardless of his skin color.
Mswahili akipata Hela kidogo anakwemda kuongeza kimada. Mzee Reginald Mengi (RIP);alipopata fedha kidogo TU akatafuta dogodogo. Waswahili hawawezi bhana, wamejifunza biashara ukubwani wakati wenye rangi nyeupe wamekuta biashara walipozaliwa.Kipi mswahili amewahi Fanya kwa ufanisi bila hao watz weupe kuwapo tusingepata hata Kodi za kuendesha nchi.
70 ya mapato ya Kodi uchangiwa na hao
Kwanini watu weusi mnakuwa wabaguzi sana halafu mkibaguliwa nyinyi mnataka dunia nzima iwaonee huruma?Hapana huu mradi wapewe wazawa wazalendo na siyo hao waarabu