Mradi wa mabasi ya haraka BRT-UDAT wapewe akina Shabiby na Abood wauendeshe kwa faida

Mradi wa mabasi ya haraka BRT-UDAT wapewe akina Shabiby na Abood wauendeshe kwa faida

Labda itangazwe kuwa kampuni binafsi tu na wao watakaochukua walipe kodi tu
Ingawa hata hizo kodi zitapigwa
Yaani mnatufanya tushindwe hata kuwaza kuwa kwanini nyie mshindwe kuendesha miradi yenu mpaka mtegemee hao?
Jibu lipo ni upigaji wa kijinga
 
Serikali imejaa mafisadi haswa
 
Ccm na serikali yake hawawezi biashara,udart wateja wanao wa kutosha lakini wanafeli
Sgr itaelekea huko huko
Nyie sahv huko sgr pigeni mapicha chukueni mavideo ya kik
Ila mbeleni huko utaona chaliiii

Ova
 
Serikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?

Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi, Kodi, vipuli, uchakavu na matengenezo) za uendeshaji kisha wachaji abiria kwa uhalisia.

Pale Ethiopia mabasi ya umma watu wote hata wanafunzi na askari wanalipa sawa. Kule ulaya na Marekani hivyohivyo ila wanafunzi Kuna namna wanavyolipiwa usafiri wao.
Wahuni hawa
 
Kwani hujui ka mwarabu wa Misri ashatoa mzigo wake ndo unaojenga barabara za mwendo kasi??
 
Hata hyo sgr wameeanza kwa mbwembwe mbeleni chalii

Ova
Ni kweli kabisa na wataiba mpaka wakose ya kuendeshea
Angalia stendi tu za mabasi wameshindwa kuziba mashimo, sio kwamba hela hakuna hapana waliisha zielekeza ila hazipo tena
Sijui kuna shida gani serikali kuwa wakali kwa haya mambo
 
Serikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?

Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi, Kodi, vipuli, uchakavu na matengenezo) za uendeshaji kisha wachaji abiria kwa uhalisia.

Pale Ethiopia mabasi ya umma watu wote hata wanafunzi na askari wanalipa sawa. Kule ulaya na Marekani hivyohivyo ila wanafunzi Kuna namna wanavyolipiwa usafiri wao.
Hata serikali wapewe haohao maana haina maarifa ya usimamizi
 
Mkuu kama ni wazawa ni ukoo wa nani hao?
Inaonekana hata Historia umefeli, kama unataka watu wenye asili ya Tanzania wengi wetu miaka elfu kadhaa iliopita hakukua na mababu zetu Tanzania.
-Makabila ya Kibantu asili yake ni Cameroon na Central Africa misitu ya Congo
-Makabila ya Kushite asili yake ni Ethiopia
-Nilotic wametokea Sudan
-Makabila mengine yametokea South Africa kama wangoni etc.

Je angepewa Mngoni hio Tenda ungelalamika kwao sio Tanzania? Ama angepewa Mmasai ungelalamika ni Msudan?
 
Hata hao Waarabu nao pia ni Wazawa. Kwani Nini maana ya neno "Wazawa"?

Hoja ya msingi ni kwamba wanatakiwa watafutwe watu sahihi watakaoweza kuuendesha mradi huo vizuri zaidi na kwa ufanisi mkubwa wenye kuleta tija.
Mradi huo akabidhiwe mtu yoyote yule ambaye mwenye uwezo mkubwa wa kuuendesha na Kusimamia vizuri zaidi, regardless of his skin color.
Magari lazima yaende kwa ratiba na wakati maalumu ili abiria wafike wanakokwenda kwa wakati. Mtu lazima ajue ili nifike muhimbili saa 2 asubuhi nipande basi la saa ngapi hapa kwenye kituo cha banana-Ukonga. Sio hii vuruvuru ya sasa hivi ambayo hujui gari itafika saa ngapi kituo x na itafika kituo y muda gani.
 
Kipi mswahili amewahi Fanya kwa ufanisi bila hao watz weupe kuwapo tusingepata hata Kodi za kuendesha nchi.
70 ya mapato ya Kodi uchangiwa na hao
Mswahili akipata Hela kidogo anakwemda kuongeza kimada. Mzee Reginald Mengi (RIP);alipopata fedha kidogo TU akatafuta dogodogo. Waswahili hawawezi bhana, wamejifunza biashara ukubwani wakati wenye rangi nyeupe wamekuta biashara walipozaliwa.
 
Back
Top Bottom