bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Hata wawe na uraia wa nchi sita hatujali maadamu umuhimu wao kwa nchi.Ni watu wenye asili ya Tanzania na chimbuko lao ni hapa, hao wengine ni waarabu wana uraia wa nchi 2
UONGOKipi mswahili amewahi Fanya kwa ufanisi bila hao watz weupe kuwapo tusingepata hata Kodi za kuendesha nchi.
70 ya mapato ya Kodi uchangiwa na hao
Ndo wawekezaji wakubwa wanalipa Kodi kwa ajili ya maendeleo yetuYaani anadhani hao waarabu wanaweza kuwapenda watanzania
Lete ukweli.UONGO
Kwani hii serikali uongozi wake wapo waswahili au hao weupe?Lete ukweli.
Nje ya ngono kipi tumeweza
Unadhani abood na shabib wametokea saudia??Hapana huu mradi wapewe wazawa wazalendo na siyo hao waarabu
Wabongo tuna ujuaji sanaMradi ukiendeshwa kisiasa hasa Africa ni hatari sana. Wale jamaa "unanijua mimi ni nani wanajikita pale". Huu mradi una faida kubwa sana ila basi tu. Hivi aliyetoa wazo makao makuu yawe pale jangwani bado yupo? Anapumua kwa raha zake. Angekuwa China sijui ingekuwaje!
Marehemu Manji hakuwa na uraia wa Marekani? wenzetu nchi zao zinaruhusu kuwa na uraia wa nchi mbiliWanawezaje kumaintain uraia wa nchi nyingi bila malaka zetu kujua?
JKMradi ukiendeshwa kisiasa hasa Africa ni hatari sana. Wale jamaa "unanijua mimi ni nani wanajikita pale". Huu mradi una faida kubwa sana ila basi tu. Hivi aliyetoa wazo makao makuu yawe pale jangwani bado yupo? Anapumua kwa raha zake. Angekuwa China sijui ingekuwaje!
Kaa kwenu Zanzibar wewe ajuzaWenye lugha yako mara nyingi ni wageni Tanzania hii.
Wewe kwenu wapi?
Wewe siyo mtanganyika kaa kimya, rudi kwenu ZanzibarWewe ukoo wa nani?
Unachosoma hukielewi?
Wenye lugha yako mara nyingi ni wageni Tanzania hii.Kaa kwenu Zanzibar wewe ajuza
Kwanini tusiwajengee uwezo wazawa? Majangili tupuKipi mswahili amewahi Fanya kwa ufanisi bila hao watz weupe kuwapo tusingepata hata Kodi za kuendesha nchi.
70 ya mapato ya Kodi uchangiwa na hao
Nchi hii hakuna ufisadi unafanyika bila kuwamo wahindi au waarabuHata wawe na uraia wa nchi sita hatujali maadamu umuhimu wao kwa nchi.
Nchi zingine ukiwa mfanyabiashara mkubwa wanakuwa uraia kabisa walishatoka kwenye mambo ya uraia au si raia.
Mtu kama Dangote anapewa uraia
Tuwatengeneze wazawaNdo wawekezaji wakubwa wanalipa Kodi kwa ajili ya maendeleo yetu
Kwao hao weupe walijengewa na naniKwanini tusiwajengee uwezo wazawa? Majangili tupu
Wenye lugha yako mara nyingi ni wageni Tanzania hii.Wewe siyo mtanganyika kaa kimya, rudi kwenu Zanzibar
Ukiwa mchaga ukizaliwa Dar unakuwa mzaramo?Unadhani abood na shabib wametokea saudia??
Wamecheza cha ndimu na sodo hapahapa bongo..
Mbona hamtaki kurudi kwenu Zanzibar?Wenye lugha yako mara nyingi ni wageni Tanzania hii.
Wewe kwenu wapi?