ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Naunga mkono hoja,Serikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?
Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi, Kodi, vipuli, uchakavu na matengenezo) za uendeshaji kisha wachaji abiria kwa uhalisia.
Pale Ethiopia mabasi ya umma watu wote hata wanafunzi na askari wanalipa sawa. Kule ulaya na Marekani hivyohivyo ila wanafunzi Kuna namna wanavyolipiwa usafiri wao.
China angekula chuma zamani sana. 🙌👍Mradi ukiendeshwa kisiasa hasa Africa ni hatari sana. Wale jamaa "unanijua mimi ni nani wanajikita pale". Huu mradi una faida kubwa sana ila basi tu. Hivi aliyetoa wazo makao makuu yawe pale jangwani bado yupo? Anapumua kwa raha zake. Angekuwa China sijui ingekuwaje!
Haya ni maandishi kama maandishi mengine lakini uhalisia unaujua, wahindi mpaka wana misikiti yao lakini huwezi kwenda India ukakuta msikiti wa watanzaniaUshauri ....
Siku zote kabla hujaongea FANYA RESEARCH.
Nenda kawakosea Wizara ya Uhamiaji.
View attachment 3056041
Anaitwa nani?Aliepewa sasa hivi si ni mzalendo kabisa mtu toka kanda ya ziwa nadhani,umeona anachokifanya?
Robert kisenaAnaitwa nani?
Yupo ndani tangu 2018Robert kisena
Kwahiyo we unajua kuliko Wizara ya mambo ya ndani??Haya ni maandishi kama maandishi mengine lakini uhalisia unaujua, wahindi mpaka wana misikiti yao lakini huwezi kwenda India ukakuta msikiti wa watanzania
Dada angu hebu kaa pembeni hii mada hailingani na akili ako, we rudi fb kwa wanawake wenzioKwahiyo we unajua kuliko Wizara ya mambo ya ndani??
#YNWA
Okey kaka angu.Dada angu hebu kaa pembeni hii mada hailingani na akili ako, we rudi fb kwa wanawake wenzio
Serikali zinazoweza mambo ya uchumi ni zile zinazowanyonga hadharani Wala rushwa na wabadhilifu bila kujali cheo Wala rangi yake,Ni kweli kabisa na wataiba mpaka wakose ya kuendeshea
Angalia stendi tu za mabasi wameshindwa kuziba mashimo, sio kwamba hela hakuna hapana waliisha zielekeza ila hazipo tena
Sijui kuna shida gani serikali kuwa wakali kwa haya mambo
Kwa waafrica bado hatujaamua ni mwendo wa kuiba na kubebana tuSerikali zinazoweza mambo ya uchumi ni zile zinazowanyonga hadharani Wala rushwa na wabadhilifu bila kujali cheo Wala rangi yake,