Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)


Ni kweli uyasemayo mkuu ila kumbuka hiyo inaenda sambamba na ujenzi wa maegesho nje kidogo ya mji, huduma kwa maana ya wingi wa hayo mabasi kuondoa kugombania kuingia.

Wengi wanapenda kupanda daladala lakini kero zake ndo shida. Mabasi yanayo challenge kubwa kwa utamaduni wa mweusi kutojua umuhimu wa mali za umma
 
Last edited by a moderator:
[h=3]HILI NDIO BASI LIENDALO KASI LILILO JARIBIWA JANA DAR[/h]

Chini ni basi liendalo kasi lililo jaribiwa jana kutoka ofisi za BRT eneo la ubungo plaza mpaka kimara likarudi mpaka kivukoni na kurudi tena ubungo.
Barabara ilionekana ipo safi na mabasi hayo yataanza kuitumia njia hiyo mwaka 2014 itakapokuwa tayari kabisa.

kitongoni: HILI NDIO BASI LIENDALO KASI LILILO JARIBIWA JANA DAR

 
Last edited by a moderator:

yes zipo kila nchi,ndio maana nikauliza huko kusiko na taa ni MARS???pili jaribu kuelewa kwanza....hamna aliesema haya mabasi yatakuwa yanaenda kasi,yatakuwa rapid transit.....yanaenda haraka kwa sababu yana njia zake kwahio hayazuiwa na foleni.....naamini hata huko uliko mabasi ya abiria ndani ya mji hayaendi kasi.....so huko uliko mabasi haya ni ya uwanja wa ndege sio....haya mkuu wasalimie huko....
 

Ni mabasi yanayotumika viwanja vya ndege kwasababu ni mwendo mfupi kubadilisha terminals hivyo watu watarundikana ndani hakuna kufunga mkanda na wanaosimama kuna kamba zinaninginia wanashika.

Ndo mwonekano wa ndani wa haya mabasi kama mojawapo inavyoonyesha.

 

nimekaa huko europe over ten years....haya mabasi yapo hata hilo uliloweka picha zake yanabeba abiria within a town/city




 
nimekaa huko europe over ten years....haya mabasi yapo hata hilo uliloweka picha zake yanabeba abiria within a town/city





Mkuu ngoja tuufunge mjadala tusubiri utekelezaji wake pengine ndo tunaweza kuchangia tukaelewana.

Sijakaa europe lakini pembe ya dunia niliyotembelea hayo mabasi ni ya mwendo wa polepole, tunapita na magari binafsi. Kama bongo itakuwa hivyo basi lengo linaweza lisititimie kama wengi tunavyotaka.

Mwisho: naomba nisionekane napinga ni kwamba nchi nyingi zenye hayo mabasi zina na barabara pia. Hivyo tunataka na upande huo uangaziwe
 

hapo nadhani ndio hamjaelewana. kama alivyosema mdau, haya mabasi yanaitwa yaendayo kasi/ haraka sio kwa sababu yana speed 180 km/h
angalia video utajua nini maana ya BRT , na kuhusu mabas , mabasi yote ya abiria mijini yapo hivyo.


ANGALIA HILI PIA. hapa nipo seat ya nyuma, ya basi la kawaida (daladala) mjini shanghai
http://distilleryimage3.s3.amazonaws.com/24d7bd265afe11e3849f0a3c3a25f78e_8.jpg
 
 
Last edited by a moderator:
KUHUSU BRT
jifunze jinsi BRT inafanya kazi, na kwa nini wanaita mabasi ayendayo haraka, angalia vizuri video hii ammbayo imemuhusisha kila abiria kuanzia tozi mpaka kipofu au wenye ulemavu wowote, utaona wakati watu wapo kwenye foleni mabasi yanapita tuu na bila wasi wasi katika njia zao maalumu (BRT LANES)
pia jinsi ya kuvuka barabara na njia za mabasi kwa nini ni za zege, enjoy

 
Last edited by a moderator:
kama mlikua hamjui kwa nini vituo ni virefu hivi, niliona mahali watu wanalalamika kwamba wamejenga vituo kama nyumba, wanachezea tu hela, haha, sasa kwa nini vituo ni virefu hivi, na tunajua wamesema wanatumia mabasi ya aina gani na kituo kinatakiwa kisimamishe mabasi mawili kwa wakati mmoja. get a concept bellow


BUS STOP



BUSES

















 
Asante kwa video, ila kama brt dar es salaam wangeandaa video ya Kiswahili ingekuwa vizuri zaidi hasa kwa wengi ambao hawajawahi kutumia aina hii ya usafiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…