Mradi wa maji chalinze umekamilika asilimia 98

Ujenzi wa maabara kwa shule za kata
Hizo walichangishwa waalimu. Na bado hazikuwa na viwango kwa maana ya vifaa. Vifaa vilikuja kusambazwa na JPM kwa kutumia magari ya jeshi.
 
Hizo walichangishwa waalimu. Na bado hazikuwa na viwango kwa maana ya vifaa. Vifaa vilikuja kusambazwa na JPM kwa kutumia magari ya jeshi.
Mh!!
na vp nishati ya gesi toka mtwara hadi kinyerezi?
 
Safi Sana tumeteseka Sana maji Chalinze,nirudi kwetu Sasa Kibiki maziwa
 
Huu ni upi na ule wa JK ni upi ? Nakumbuka ulikuwepo mradi mwingine pale Chalinze 2002 to 2010 hivi .......naomba ufafanuzi
 
Kuna miradi ya kikwete ilifikia 80+% na haikumalizwa (kwa makusudi), km huyu ssh anaimalizia kwa upendo tu ya mwenzie basi anaxtahili sana pongezi
Mradi gani ulifikia 80+%wa kikwete ambao haujakamilishwa
 
Mradi wa Chalinze ulianza tangu enzi za Kikwete na ulijengwa na Wachina. Pump house pale Wami na matenki pande zote mbili kwenda Himo na kuja Chalinze karibu yote yalikuwa yamekamilika.
Wewe unazungumzika kitu usichokijua , huo mradi unaozungumziwa haukuanza kipindi cha kikwete?
 
Ni tofauti,huu sasa unatoa maji ruvu sio wami,ulianza majuzi wakati wa mwendazake ,Rais wa miundombinu mbinu Yule,kwa apo anastaili pongezi
Kweli raisi wa miundo mbinu kaitendea haki miundo mbinu
 
Huu ni upi na ule wa JK ni upi ? Nakumbuka ulikuwepo mradi mwingine pale Chalinze 2002 to 2010 hivi .......naomba ufafanuzi
Hivi ni kuwa watu hamsomi? Hapo ridhiwani kasema anashukuru Magufuli kwa kurididhia kuanzishwa mradi.
Ungekuwa ule wa jk Wala asingesema hayo
 
Hivi ni kuwa watu hamsomi? Hapo ridhiwani kasema anashukuru Magufuli kwa kurididhia kuanzishwa mradi.
Ungekuwa ule wa jk Wala asingesema hayo
Wewe ndio huelewi.....nataka kujua ule zamani uli fail ulikufa au upgrade au kitu gani....mbona unahamisha magoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…