Mradi wa Maji Kigamboni waendela kuleta ahueni.
Tangu kuzinduliwa kwa mradi wa maji Kigamboni maeneo mablimbali ambayo hapo awali yalitegemea maji kwa mgawo tangu kutokea ukame mwezi Oktoba,2022 yameanza kupata maji. Wanufaika wa kwanza walikuwa wakazinwa Kigamboni Ferry, Navy, maeneo ya Mivinjeni, Kurasini, Magomeni, Fire na mengine jirani.
Hivi sasa msukumo wa maji hayo unaendelea kuimarika katika maeneo ya katikati ya jiji yameanza kupata maji.
Tumeshuhudia maji kufika katika maeneo ya Kariakoo, India clock tower, Azikiwe, Nkurumah, Mtaa wa simu nk.
Pia msukumo wa maji unaendelea kuongezeka katika mitaa ya Mkwepu na Hindu Mandal ambapo bado pressure ilikuwa ndogo mwandishi wetu alipopita.
Mwandishi wetu ameshihidia kazi ya kufuatilia maji haya na kutoa upepo ili kuyaruhusu kupita ikiendelea usiku na mchana.