Mradi wa maji wa mugango wafika Butiama

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Machozi ya furaha yanawatoka wana Butiama baada ya kuletewa mradi wa maji wa Mugango-Butiama, sasa hivi wamesahau kutumia punda kwenda umbali mrefu kutafuta maji. Rais Samia amekuwa mkombozi wao.

Your browser is not able to display this video.
 
Kwamba mwaka huu ndiyo wameanza kulipa kodi? miaka 63 ya uhuru bado unashangilia maji? shame on you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…