Mradi wa Maji ziwa Chala wilayani Rombo umekwama au umefikia wapi?

Mradi wa Maji ziwa Chala wilayani Rombo umekwama au umefikia wapi?

King Innocent

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2011
Posts
1,069
Reaction score
808
Mwenye kuelewa huu mradi ulipofikia naomba kujuzwa,

Mwaka Jana 2021, Serikali kwa kupitia Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi aliwaahidi warombo tatizo la maji litakuwa historia kwani , juzi nilipita maeneo mbalimbali mfano Kiraeni na Useri nimekuta watu wanatembea umbali mrefu kutafuta maji

Ningependa kujua huu mradi ulikwama au umeshaanza?
 
Kama mradi ulikuwa ni wa Maji na Maji hakuna..hilo halihitaji maelezo, TUMEPIGWA
 
Back
Top Bottom