Mwenye kuelewa huu mradi ulipofikia naomba kujuzwa,
Mwaka Jana 2021, Serikali kwa kupitia Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi aliwaahidi warombo tatizo la maji litakuwa historia kwani , juzi nilipita maeneo mbalimbali mfano Kiraeni na Useri nimekuta watu wanatembea umbali mrefu kutafuta maji
Ningependa kujua huu mradi ulikwama au umeshaanza?