Mradi wa nguzo za umeme za zege umeishia wapi? Nchi ina vituko hii!!

Mradi wa nguzo za umeme za zege umeishia wapi? Nchi ina vituko hii!!

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Bila shaka vita ilikuwa kubwa Sana. Na hatimaye wenye mashamba ya miti wameshinda.

Siku hizi nguzo za zege siyo tu hazisambazwi bali pia haziongelewi tena. Yule bwana alikuwa na % yake kwenye viwanda vya nguzo hizo. Alipokufa kafa navyo.

#Tanzania yangu!
 
Kazi inaendelea bwashee
IMG_20230226_112852_435.jpg
 
Upo, kuna madogo wangu walipata dili la kuchimba na kusimamisha hizo nguzo hapo Geita, sema wameona cha kufia nini, mzigo ni mzito, wamerudisha mpira kwa kipa.
 
Mbona hatuoni zikizalishwa na kusambazwa kwa kasi? Tuliambiwa wanataka kuziondoa hizi za miti
Wiki iliyopita barabara ya kutoka Mwigumbi hadi Bariadi nimezikuta nyingi tu zinetandazwa njiani
 
Bila shaka vita ilikuwa kubwa Sana. Na hatimaye wenye mashamba ya miti wameshinda.

Siku hizi nguzo za zege siyo tu hazisambazwi bali pia haziongelewi tena. Yule bwana alikuwa na % yake kwenye viwanda vya nguzo hizo. Alipokufa kafa navyo.

#Tanzania yangu!
Wala sio hivyo. Hawa wahuni ndio wana maslahi na mashamba ya nguzo. Faida ya nguzo za zege ni kubwa sana na kwa uhakika ni hatua kurudi nyuma kuacha nguzo za zege. Umeme tumesambaza vijijini na moto huunguza nguzo kila wakati. Pia nguzo za zege haziozi.
Miti ina matumizi ya ujenzi kwa kuzalisha mbao. Tusilazimishe kwa maslahi ya wachache kwa nguzo za umeme ambapo za zege zimeonekana kua na ubora zaidi.
 
Back
Top Bottom