Mbona hatuoni zikizalishwa na kusambazwa kwa kasi? Tuliambiwa wanataka kuziondoa hizi za mitiMbona unaendelea nenda bagamoyo Rd uone
Kazi inaendelea bwasheeBila shaka vita ilikuwa kubwa Sana. Na hatimaye wenye mashamba ya miti wameshinda.
Siku hizi nguzo za zege siyo tu hazisambazwi bali pia haziongelewi tena. Yule bwana alikuwa na % yake kwenye viwanda vya nguzo hizo. Alipokufa kafa navyo.
#Tanzania yangu!
Wiki iliyopita barabara ya kutoka Mwigumbi hadi Bariadi nimezikuta nyingi tu zinetandazwa njianiMbona hatuoni zikizalishwa na kusambazwa kwa kasi? Tuliambiwa wanataka kuziondoa hizi za miti
Wala sio hivyo. Hawa wahuni ndio wana maslahi na mashamba ya nguzo. Faida ya nguzo za zege ni kubwa sana na kwa uhakika ni hatua kurudi nyuma kuacha nguzo za zege. Umeme tumesambaza vijijini na moto huunguza nguzo kila wakati. Pia nguzo za zege haziozi.Bila shaka vita ilikuwa kubwa Sana. Na hatimaye wenye mashamba ya miti wameshinda.
Siku hizi nguzo za zege siyo tu hazisambazwi bali pia haziongelewi tena. Yule bwana alikuwa na % yake kwenye viwanda vya nguzo hizo. Alipokufa kafa navyo.
#Tanzania yangu!