ufisadi unaanza kwenye kupata kiwanja hapo Sea View, mimi nimetafuta saana kiwanja hapo to 1980 kabla alhaji hajawa Rahisi sikupata kiwanja.
August,
Sawa, wewe hukupata, lakini hujatuonyesha ni wapi Mwinyi kapata kiwanja kifisadi.
Vipi kama watu wa ardhi bongo wana tabia ya kutetemekea majina ya watu wakubwa, na wewe hukupewa, Mwinyi kapewa, kwa sababu ya ufisadi wa watu wa ardhi na wala si ufisadi wa Mwinyi?
Vipi kama mtaji wako ulikuwa haufanani na mahitaji ya sehemu hiyo, na huyu mjanja kaja na mtaji husika?
Post yako haiwezi kusimama bila qualification.
Sipingi kwamba Mwinyi anaweza kuwa fisadi, in fact familia ina kila harufu ya ufisadi, lakini, kama tunataka kuwa serious, kama tunataka watu wasituone a bunch of bitter exiles and losers, inabidi tukimuita mtu fisadi tuwe na data.
Mwinyi kafanya ufisadi wapi exactly? tunataka a valid expose, sio ushabiki ambao unaweza kuwa dismissed as "wivu" kirahisi tu. This is in the interest of "vita against ufisadi", when you come come correct.
Vilio vya aina hii kuhusu ufisadi vinanikumbusha vilio vya racial discrimination, kuna watu wakikanyagwa kwenye a crowded commuter train wanalia racial discrimination, they make it bad on the people who are experiencing real racial discrimination. Tusitake kui cheapen hii stance against ufisadi kwa kuallow kila mtu asiye na ushahidi kuja hapa kulia ufisadi, tutake ushahidi mzuri ili tuwe na a stronger case, hata kama mtu anataka kuanzia hapa kwenda mahakamani ajue anaanzia wapi, sio blah blah tupu zisizo data.
Mwinyi kadhulumu wapi? Kahonga wapi? Kivipi? Hakufuata utaratibu wapi? Kavunja sheria wapi?
Tupeni data tumlime fairly, otherwise anakuwa enterpreneur tu.
Hatutaki tufikie mahali pa kumuita kila mtu ambaye ana deal la $ 10 m fisadi.