Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
good post, sasa hii iko poa, ile ya vyoo kidogo ilikuwa to de extreme!!!I understand some of you are suprised at this level dough. How do you know he is the sole shareholder? Maybe he is representing someone else. And if it is him how do you know ana assets gani zakupata collateral? Mashamba, investments nyingine? Huyu mtu kaja na thread isiyo na malelezo yoyote na nyie mnaleta ujamaa hapa na kumsupport... Being rich does not make anyone mchafu and yes there are people worth several million dollars so what? Nchi ikiwa na matatizo ndio kila mtu awe maskini? Toeni sababu au muacheni mwinyi apete tuu. SO you think he stole 10billion and is using it to build apartments.. Are you insane.lol No one invests using their own money to do things like that.. It is almost always the bank's money.. (and nasema haya as a corporate lawyer often dealing with these types of arrangements and furthermore I myself do modest investment in real estate) So swala la watu walizoea mishara ha laki 5 ama 1.5m kuanza shangaa mtu anacheza na 10 million dollars (it doesnt mean hizo hela anakula.. it is an investment portfolio sio sawa na mshahara..) MwanaFA umepatia kusema kuwa kuna watu wana some kind of class-beef. I am not a fan of social strata myself but it is a natural consequence of human interaction a special in the Capitalistic world.
I myself plan to retire with around 100 million dollars..does that mean I have ufisadi in my plans..NO way. Its just personal ambition and vision. Mtu asi invest, fisadi..
Lakini jamani kupewa 10 bilioni loan na benki si mpaka uwe na bond yenye thamani kama hiyo? Kama ni hivyo ina maana Dk. Mwinyi ana assets zenye thamani ya 10 bilioni si ufisadi tayari huo jamani? Au? Au kama ni mfanyabiashara, je anafanya biashara gani ya kumwingia pesa nyingi hivyo?
Lakini jamani kupewa 10 bilioni loan na benki si mpaka uwe na bond yenye thamani kama hiyo? Kama ni hivyo ina maana Dk. Mwinyi ana assets zenye thamani ya 10 bilioni si ufisadi tayari huo jamani? Au? Au kama ni mfanyabiashara, je anafanya biashara gani ya kumwingia pesa nyingi hivyo?
Unahitaji tu kuwa na jina Mwinyi - hutakosa wateteaji tena, rukhsa tu. Kwani Shs. 10,000,000,000 kitu gani ? Mbona Benki wanazigawa kama njugu. ? Bahati yake, angekuwa Rostamu angekiona cha moto, hata biashara ya nyuma ya utumwa kwenye familia haingesaidia kitu. Collateral ? Mwinyi jina kubwa ati - kuna mwenye zaidi ?
August,ufisadi unaanza kwenye kupata kiwanja hapo Sea View, mimi nimetafuta saana kiwanja hapo to 1980 kabla alhaji hajawa Rahisi sikupata kiwanja.
August,
Si kiwanja tu. Hili jengo la Mwinyi lilikuwa mojawapo ya majengo yaliyotaifishwa wakati wa Azimio la Arusha. Nasikia (sina ushahidi) alipewa jengo hilo na baba yake yeye akalifanyia tu ukarabati. Kwa hiyo wale wanaouliza kuwa alipata wapi pesa za mtaji jibu ni hilo. August na Jasusi wasingeweza kuipata nafasi ya upendeleo kama huo na hapo ndipo ufisadi unapoingia. Kumbuka huyu alishawahi kupewa tenda ya kuleta magari ya jeshi wakati baba yake ni rais. Huo pia kweli siyo ufisadi ni nini?
Mkuu Jasusi,Kinyambiss,
Ningekuomba na wewe uende benki tuone utajenga apartments ngapi. Ukishafanya hivyo rudi hapa ututukane sote kuwa ni wapumbavu.
August,
Si kiwanja tu. Hili jengo la Mwinyi lilikuwa mojawapo ya majengo yaliyotaifishwa wakati wa Azimio la Arusha. Nasikia (sina ushahidi) alipewa jengo hilo na baba yake yeye akalifanyia tu ukarabati. Kwa hiyo wale wanaouliza kuwa alipata wapi pesa za mtaji jibu ni hilo. August na Jasusi wasingeweza kuipata nafasi ya upendeleo kama huo na hapo ndipo ufisadi unapoingia. Kumbuka huyu alishawahi kupewa tenda ya kuleta magari ya jeshi wakati baba yake ni rais. Huo pia kweli siyo ufisadi ni nini?
matatizo ya viwanja bongo linajulikana, ubadilishaji wa open space kuwa kiwanja cha mtu kwa makazi au biashara unajulikana bei za viwanja mwaka 80 ilikuwa ni bei ya serikali tshs 3,000.00 unapata kiwanja tatizo ni urasimu na kujua na ufisadi. je unataka niseme nini zaidi ya hiyo.Your information is not complete.
1.Ulitafuta kiwanja ukakosa wa kukuuzia? Kwa maana kama ardhi ni ya mtu ana haki ya kukuuzia au kukunyima.
2.Kama ulipata ardhi ulinyimwa kwa sababu zipi?
3.Cost ya viwanja sea view ilikua ni ngapi at different times ya utafutaji wako na najeti yako ilikua ngapi.
Sikatai ufisadi unaweza ukawa umefanyika but its time watanzania tuka fahamu ile concept ya sheria ya "Innocent until proven guilty". Inatakiwa ushahidi na hoja zinazo weza kusimama hata kwenye mahakama kabla ya kumhukumu mtu.
Mkuu Mtanzania,Mkuu Jasusi,
Lakini tuwe waangalifu pia; tutaishia kuwaita Watanzania wenzetu wote wezi huku wageni wanatuibia kilaini.
Kuna wageni chungu nzima wanajenga apartments hapo Dar na wala hatuwashikii bango lakini tukimwona Mtanzania anafanya hivyo, tunaanza kumwita mwizi kabla hata hatujajua pesa katoa wapi.
Inabidi tusiwe negative sana pale tunapoona Watanzania wenzetu wanafanikiwa. Ndio kunaweza kuwa na wezi lakini wengine huenda wanafanikiwa shauri ya kujituma na kuchapa kazi kwao.
Kiranga,Sasa hapa mnaanza kuongea, albeit hesitantly.
Jasusi kama ungeweza kuvalidate madai watu wangeweza kuwabana hapa hii process ya baba kumpa mtoto jengo lililotaifishwa ilikuwaje, mambo ya conflict of interest yameendaje etc etc.
At least unakuwa na kitu concrete cha kusema ufisadi umeanzia hapa, hata kama mtu anataka kuanza uchunguzi anajua aanzie wapi.
Sio unapiga simu Fire Brigade wanakuuliza moto uko wapi unashindwa hata kutoa address!
10 bil Tsh Mtanzania civil servant hujawahi kufanya hata biashara ya baa, hata hayo mabenk yanayokupa pesa hiyo lazima uwe na collaterals za kutosha! Ni rahisi kuja na hitimisho Angekuwa Ballabou, au R. Mengi, au Aboud watu wange-jump kwenye conclusion haraka hiyvo? Watu wana reason nenda wewe na kijumba chako cha Mil5 kama utapewa hata hizo Mil 20!
Hapa We dare to talk Bwana Usianze kuita watu majina ya kilevi levi hapa
mtoa rushwa na mpokea rushwa wote lile neno alilotumia mwalimu mali manganya?August,
Sawa, wewe hukupata, lakini hujatuonyesha ni wapi Mwinyi kapata kiwanja kifisadi.
Vipi kama watu wa ardhi bongo wana tabia ya kutetemekea majina ya watu wakubwa, na wewe hukupewa, Mwinyi kapewa, kwa sababu ya ufisadi wa watu wa ardhi na wala si ufisadi wa Mwinyi?
Vipi kama mtaji wako ulikuwa haufanani na mahitaji ya sehemu hiyo, na huyu mjanja kaja na mtaji husika?
Post yako haiwezi kusimama bila qualification.
Sipingi kwamba Mwinyi anaweza kuwa fisadi, in fact familia ina kila harufu ya ufisadi, lakini, kama tunataka kuwa serious, kama tunataka watu wasituone a bunch of bitter exiles and losers, inabidi tukimuita mtu fisadi tuwe na data.
Mwinyi kafanya ufisadi wapi exactly? tunataka a valid expose, sio ushabiki ambao unaweza kuwa dismissed as "wivu" kirahisi tu. This is in the interest of "vita against ufisadi", when you come come correct.
Vilio vya aina hii kuhusu ufisadi vinanikumbusha vilio vya racial discrimination, kuna watu wakikanyagwa kwenye a crowded commuter train wanalia racial discrimination, they make it bad on the people who are experiencing real racial discrimination. Tusitake kui cheapen hii stance against ufisadi kwa kuallow kila mtu asiye na ushahidi kuja hapa kulia ufisadi, tutake ushahidi mzuri ili tuwe na a stronger case, hata kama mtu anataka kuanzia hapa kwenda mahakamani ajue anaanzia wapi, sio blah blah tupu zisizo data.
Mwinyi kadhulumu wapi? Kahonga wapi? Kivipi? Hakufuata utaratibu wapi? Kavunja sheria wapi?
Tupeni data tumlime fairly, otherwise anakuwa enterpreneur tu.
Hatutaki tufikie mahali pa kumuita kila mtu ambaye ana deal la $ 10 m fisadi.
Balantanda,Jamani Manafalsafa kauliza swali zuri tu halijajibiwa...Vipi kama ana wabia???????
Balantanda,
Kama kuna wabia then it should be transparent. Wafahamike.