Mradi wa parking ya magari misugusugu umekufa wajanja wamepiga pesa

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Kuna wajanja walianzisha kimradi uchwara hapo misugusugu shule wakawahamisha watu Kwa mabilioni kutoka serikalini ambapo wao walikua wanachukua Nusu ya pesa ya Kila alieamishwa ni mwaka umepita mradi huo uchwara ulipoanzishwa kupo kimya wanafuga pori.

Ama kweli Tanzania Ili upate utajiri ni ujanja na akili zako tu hii ndio ccm Kila mjanja anaanzisha mradi wa kupiga pesa huku wananchi wakiwa wamelala usingizi
 
Wajanja wanapiga pesa wajinga wanatick wasichokijua
 
Bandari kavu ipo kwala uanleta vipi mradi wa kupark magari misugusugu
 
Hata bandari ya kwala nayo umeanza kujifia.kwa Sasa hwafanyabiashara wanakimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…