Sio nguzo zina mvua tatu maana mradi haukamiliki mwaka wa 3. Wanakuja wanaweka nguzo chini wanaondoka. Mara wanakuja wanaangalia wanabeba nguzo na vifaa vingine wanapeleka site nyengine. Kuna wenzetu mradi tuliwatangulia mpaka sasa mradi ulishaisha muda wanatumia umeme na hawakufikisha hata miezi 6.