Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Huyo ni johnthebaptist sio mimi nipo shinyanga mjini tayaliWewe sema unamtazama Dr. Kalemani TBC [emoji706][emoji706][emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hizo 50 percent iliyobaki chama gani umekipa na kimefanya Nini?Huyo ni johnthebaptist sio mimi nipo shinyanga mjini tayali
50% zilibaki itazichukua kupitia miradi ya Sgr,barabara,madaraja,na JNHPP. Mambo mengine sio mpaka uulize.Sasa hizo 50 percent iliyobaki chama gani umekipa na kimefanya Nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajidanganya maana mradi kama JNHPP unaendelea na mkandarasi ameshalipwa certificate kama 6 zenye thamani ya tril 1.2+Mapambano dhidi ya corona yanaiondolea CCM hizo 50% ya kura, wamefeli totally!
Ngoma imerudi 0% tutafute hoja nyingine ya kuzipandisha tena!
Rea mpaka 72% vijiji vina umeme, Sgr Dar to Moro imebaki kidogo sana mvua na milima inasumbua. Ndege nane zimeshanunuliwa. Ubungo interchange imekamilika 98%. Mimi nipo Nccr Mageuzi lakini kweli nitasema, Jama amepiga kazi.CCM Mpya imefeli, ilidhani miradi mingi mikubwa kutekelezwa kwa wakati mmoja itawa boost kiSiasa.
Lakini mpaka sasa miradi hiyo ya ndege ATCL, Reli SGR , Stiegler's Gorge, REA bila umeme, madaraja na flyovers n.k haijakamilika kwa wakati waliotegemea hata kwa 'vipande' sasa hawana cha kuwaonesha waTanzania ktk miaka 5 wamekamilisha kitu gani.
50% zilibaki itazichukua kupitia miradi ya Sgr,barabara,madaraja,na JNHPP. Mambo mengine sio mpaka uulize.
Nini maana ya maendeleo? Miradi ndio maendeleo na ndio kura zenyewe.Kama miradi ndio inayotoa kura, basi mpaka leo weupe wangekuwa wanatawala Afrika kusini.
Nini maana ya maendeleo? Miradi ndio maendeleo na ndio kura zenyewe.
Hizi chaguzi duniani zina matatizo; nilitegemea mlipa kodi mkubwa kwenye kura angekuwa na kura nyingi kuliko yule mkulima anayelima chakula chake pekee. Shareholders wa makapuni kila mmoja ana nguvu kulingana na idadi ya shares sasa iweje mtu anayechangia zaidi gharama za uendeshaji wa serikali awe sawa na mtu tegemezi anayelishwa na wazazi au ndugu inapokuwa suala la kupiga kura? .........mnisamehe mchana umepita hivi hiviKitendo cha serikali ya rais John Pombe Magufuli kuongeza pesa nyingi na kuwepo na usimamizi mzuri wa mradi wa REA tayari chama cha mapinduzi kimeshajizolea kura kwa 50% za urais hata kabla ya uchaguzi.
Hii ni kwa sababu mpaka sasa ni 72% ya vijiji hapa Tanzania vimeshawekewa umeme. Nyumba za makuti, nyumba za tembe zinawaka umeme tena kwa bei rahisi kabisa ya 27000. Ikumbukwe kuwa hii ni kwa sababu JPM alipoingia madarakani alisema lazima atekeleze ilani ya CCM ya kupeleka umeme vijijini bila Tanzania nzima.
Napita barabara ya Old Shinyanga naelekea Shinyanga nashangaa kuona nyumba za tope na tembe zote zina umeme.
Kwa hili lazima tumpongeze JPM na chama chake na tutambue maendeleo hayana vyama.
tindo hata SA kuna watu wanakalia nyumba za mabati full suti na ANC inawajengea nyumba. Hata huko Usa barabara zinaharibika na kujengwa.Narudia tena, kama miradi ndio inayotoa kura, leo hii bado weupe huko Afrika wangekuwa madarakani. Hivi wanavyofanya ccm leo, huko Afrika kusini walifanya miaka mingi sana, tena mara mia yake.
Rea mpaka 72% vijiji vina umeme, Sgr Dar to Moro imebaki kidogo sana mvua na milima inasumbua. Ndege nane zimeshanunuliwa. Ubungo interchange imekamilika 98%. Mimi nipo Nccr Mageuzi lakini kweli nitasema, Jama amepiga kazi.