Mradi wa REA umeipatia CCM kura 50% kabla hata ya uchaguzi

Je polisi NI ngapi na za tume ni ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kachukua kura hizo zote nyinyi nccr manunuzi mtabakiwa na ngapi au hukumbuki kama Jana umejiunga na nccr manunuzi?
 
Hata marekani kuna watu wanalala chini madaraja na vibanda ije hizo za tope? Hii ni Africa na binadamu hawalingani hata siku moja.
 
Halafu Meko kaharibu baada ya kuonyesha hajali watu kufa. Zika pungua kwa 60%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia baada ya ndege za ATCL kukosa kazi, sasa imebidi ziende Madagascar kubeba madumu ya dawa ya coronavirus!!
 
Kuna Chama kina miaka 20 hakina ofisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia baada ya ndege za ATCL kukosa kazi, sasa imebidi ziende Madagascar kubeba madumu ya dawa ya coronavirus!!
Ndege za dunia nzima hazina kazi dogo. Afadhali ya zetu zimepata "mchongo". Zingine ni totally grounded!
 
MATAGA na korona yote hii bado mnapiga mapambio? Unazungumzia vijiji kwekewa umeme wakati DAR tu umeme kuna sehemu hakuna kabisa watu wanatumia SOLAR na KOROBOI/KANDILI(Candle-Mshumaa).
 
MATAGA na korona yote hii bado mnapiga mapambio? Unazungumzia vijiji kwekewa umeme wakati DAR tu umeme kuna sehemu hakuna kabisa watu wanatumia SOLAR na KOROBOI/KANDILI(Candle-Mshumaa).
Hoja hapa ni mradi wa Rea unavyowanufaisha wananchi vijijini. Kwani Rea inawuhusu wakazi wa mijini? Au unawashwa kuandika tu.
 
Hakuna shaka kanda ya ziwa amefanikiwa hata mawaziri karibu wote wanatoka huko.
 
Hoja hapa ni mradi wa Rea unavyowanufaisha wananchi vijijini. Kwani Rea inawuhusu wakazi wa mijini? Au unawashwa kuandika tu.
Wewe kweli zero BRAIN ,vijiji na mjini ni definition tu ila kote kunahitajika Tanesco wasambaze umeme,REA ni project ndani ya TANESCO ila hapa fedha wanachanga wanaotumia umeme wa TANESCO,sasa kama DAR tu 10km from TANESCO/SONGAS umeme hakuna,unawezaje kujitapa umepeleka umeme vijijini? miaka zaidi 60 ya uhuru mmemshindwa DAR kusambaza umeme kwa hata 80%? MADALE tu kuna sehemu hakuna umeme achilia mbali KONGOWE! Tanesco ilitakiwa wasambaze network DAR nzima ibakie kazi kwa wananchi kuvuta na si kuanza kuomba tanesco wakuletee umeme.
 
Nafikiri ili usimalize wino wako waache Ccm watekeleze ilani yao ya Chama sababu ndio chama dola. Na wewe ukishika dola utayafanya hayo unayoyataka. Ila tambua vijijini watu wamesahau vibatari na October ipo karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…