blacksamurai
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 387
- 646
Hilo eneo la star city, kutokea barabara ya lami hadi kule kwenye fence ya mwendokasi, kulishapimwa hivyo viwanja na vimeuzwa tayari. Shida ni hao wamiliki wapya kiviendeleza.
Ukishavuka reli ya mwendokasi na mto ule. Lile shamba lote la mikonge ukiwa unaelekea kiegea B na kipera. Huko bado hakujapimwa na kuuzwa. Ila naona mikonge imetolewa yote na watu wamelima mahindi humo. Na zile mashine za kuchakata mkonge zilisha hamishwa pale zilipokuwepo. Na penyewe pia patapimwa mida si mrefu