blacksamurai
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 387
- 646
Yaani watu watakua wote wame ambiana wasi endeleze basi hili eneo, au kuna tatzo kwenye aina ya watu walio uziwa ( Madalali)Hilo eneo la star city, kutokea barabara ya lami hadi kule kwenye fence ya mwendokasi, kulishapimwa hivyo viwanja na vimeuzwa tayari. Shida ni hao wamiliki wapya kiviendeleza.
Ukishavuka reli ya mwendokasi na mto ule. Lile shamba lote la mikonge ukiwa unaelekea kiegea B na kipera. Huko bado hakujapimwa na kuuzwa. Ila naona mikonge imetolewa yote na watu wamelima mahindi humo. Na zile mashine za kuchakata mkonge zilisha hamishwa pale zilipokuwepo. Na penyewe pia patapimwa mida si mrefu
Opposite na hilo eneo kuna eneo jipya lililokuwa likimilikiwa na Junior seminary ya KKKT limegaiwa kwa wananchi kama miaka 2 hivi tayari limeshajengwa nyumba na limejaa. Nini kinachoshindikana kwenye hivyo viwanja vya star city?Yaani watu watakua wote wame ambiana wasi endeleze basi hili eneo, au kuna tatzo kwenye aina ya watu walio uziwa ( Madalali)
Kuna mtu kwa comments alinifafanulia nikaelewa.Hapana sio kweli, watu wana nunua na kujenga Mkundi hadi sangasanga hawawezi kushindwa katikati ya Mji
huko Magadu ni eneo la jeshi hapo tuombee tu jeshi waamue kulie deleza eneo lao, ila hawatoweza kuwapa wananchiLiko njia ya kwenda wapi? Vizuri utufahamishe ili tuweze kuchangia, kuna pori jingine Magadu nalo linatisha, hili linamilikiwa na Jeshi la Wananchi na SUA.