Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, unatarajiwa kukamilika Aprili 24, 2026

Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, unatarajiwa kukamilika Aprili 24, 2026

Mpepetaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
346
Reaction score
213
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Bi. Mwajuma Nasombe @mwajumaa_abasy ametangaza Kurudi kazini kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, huku ukitarajiwa kukamilika ifikapo april 24, 2026.

Amesema hayo Leo, mbele ya Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro Kiseo Nzowa wakati wa ukaguzi wa Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi Maarufu kama Stendi ya Ngangamfumuni, ambao Tayai Mkandarasi Yupo kazini.

 
Kwa nini unaiiita stendi ya kimataifa? Weka picha tuone kama kweli ni ya kimataifa
 
Stendi ya kujengwa na kukamilika ndani ya mwaka mmoja ili kutumika leo hii ni mwaka wa kumi na bado haijakamilika!
Hakuna stendi hapo ni uchafu mtupu.

Wachaga wengi na CCM ni wezi wakubwa.
 
Stendi ya kujengwa na kukamilika ndani ya mwaka mmoja ili kutumika leo hii ni mwaka wa kumi na bado haijakamilika!
Hakuna stendi hapo ni uchafu mtupu.

Wachaga wengi na CCM ni wezi wakubwa.
Anza na huyo mkurugenzi mtendaji.
 
Back
Top Bottom