Nakuomba mkuu usifananishe fleckvieh na mambo ya kijingaMkuu hilo sio tatizo hata kidogo, kuna ngombe wazuri tu wanafanya vizuri kwenye maeneo ya joto mfano fleckvieh..pia kama unafugia maeneo ya joto fuga chotara..mfano borani+friesian = chotara utakalopata hapo litakupa tija nzuri saana...Mtembelee JK MSOGA..utaona anavyofuga kwa tija...na ili ngombe wakupe 70% ni proper management na 30% ni feeding
Mkuu unataka kunambia ngmbe wako awajawai kupata mimba kupitia AI (kupandisha )Hii option unaweza kuipinga sana theoretically lakini tulio na ng'ombe au shamba lenye majike kumi na zaidi nunua dume biashara imeisha
Nakuomba mkuu usifananishe fleckvieh na mambo ya kijinga
Kama unae dume wa fleckvieh popote ulipo namfuata.
Nimemtufuta huyo ng'ombe nimeshindwa
Ever since those ancient daysMkuu unataka kunambia ngmbe wako awajawai kupata mimba kupitia AI (kupandisha )
Mkuu hii technology ipo na inafanya kazi vzr sana lbd kuna dosari kwa mtaalam uliekua unamtumia au ww kwny kudetect dalili za jotoEver since those ancient days
Kwenye ufugaji wa ngmbe wa maziwa economical kufuga dume tunahesabu kama n hasara kwa sababu y mambo yafuatayoNakuomba mkuu usifananishe fleckvieh na mambo ya kijinga
Kama unae dume wa fleckvieh popote ulipo namfuata.
Nimemtufuta huyo ng'ombe nimeshindwa
Mimi ng'ombe sisomi kwenye vitabu. Mimi nafuga ng'ombe. I used to 'AI' aiseh hiyo siyo tu ni changamoto lakini hata ubebaji wa mimba kwa mitamba ni inshu. Mfano shamba langu nina majike zaidi ya 10 kila mtaalamu akija kupandisha anataka 20elfu. Na mrija bwana unaweza rudia hata mara tatu ndipo ng'ombe ashike mimba.Kwenye ufugaji wa ngmbe wa maziwa economical kufuga dume tunahesabu kama n hasara kwa sababu y mambo yafuatayo
1. cost za malisho na maji
2.chanjo na tiba
3.dipping or spraying
Note :Haya mambo utayaepuka utumiapo artificial insemination
Lets says unaanza kumlea ndama dume toka amezaliwa
Ndama anapozaliwa anatakiwa kunywa maziwa 10% ya uzito wake mfano ndama dume kazaliwa na uzito wa kilo 30kg asilimia 10% itakua ni lita 3 so anatkiwa kunyweshwa 3L ili aje kua ngmbe bora n mweny afya hili linaendlea kila siku mpaka anafiksha mwez mmoja
So kwa lita 3 kwa mwezi atakua ametumia lita 30
Pia ndama anatkiwa kunyweshwa maziwa mpaka kufkia miezi 3 ambayo jumla kwa makadirio inatakiwa kufkia lita 270
just calculate let say 1L=1500tsh maana ake unakua umepoteza laki 405000 ndani ya miezi 3 ambayo hata ukiamua kuuza h ndama ndama huyo wa miez 3 utomuuza kwa hio bei labd utaishi kuuza kwa bei ya laki 1.5 mpaka laki 2
Note: Bado ataendlea kula majan maji ,atahitaji dawa chanjo na n.k
Faida za kutumia artificial insemination (kupandisha )
1.net inccured cost ni ndogo ukilinganisha na kumfuga dume
2.unakua na nyanja ya kuchagua breed bora ya kupandsha mfano friesian,aryshire jeyser
3.kupunguza uwezekano wa kuambukiza magonjwa km trichonomosis ,brucella
Conclusion kufuga ngmbe dume katika biashara ya ngombe wa maziwa ni hasara siwashauri wafugaji kutumia njia hii kama mnahitaji faida zaidi.kama unahitaji ushauri wa kitahalam unawez kuulza swali hum .
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mkuu unapatikan mkoa ganMimi ng'ombe sisomi kwenye vitabu. Mimi nafuga ng'ombe. I used to 'AI' aiseh hiyo siyo tu ni changamoto lakini hata ubebaji wa mimba kwa mitamba ni inshu. Mfano shamba langu nina majike zaidi ya 10 kila mtaalamu akija kupandisha anataka 20elfu. Na mrija bwana unaweza rudia hata mara tatu ndipo ng'ombe ashike mimba.
Achana na changamoto za kujua yupo kwenye joto au laaah tena wengine wana joto la kisirisiri.
Faida ya dume;
i. Anapanda, na anatambua joto mwenyewe wewe unalisha majani na chanjo tu
ii. Anapanda kwa wakati hivyo kukupunguzia usumbufu
iii. Dume pia hufanya ufugaji kulijua banda lako kinasaba badala ya longolongo za wataalamu maana anaweza kuzisifia mbegu za dume kumbe wala dume hana sifa hizo anazozisema
In fact, your not needed to be mechanical engineer to drive a car.
Dume mzee ni habari nyingine. Huwa anapanda hata usiku ukiamka unakuta habari imeisha
Wakuu shukrani sana kwahii mada na naomba muendelee kutuwekea maarifa mliyonayo......binafsi sijaanza bado ufugaji ila nimeazimia kufikia mwakani niende kijijini sana nikakae miezi 4 hadi 6 nikisoma ng'ombe vizuri baada ya hapo ndio nijenge mabanda yangu huko niinvest nikiwa na maarifa ya kuchanganya hapa na nitakayoyakuta field.....
Una mafume aina gani?Nakuomba mkuu usifananishe fleckvieh na mambo ya kijinga
Kama unae dume wa fleckvieh popote ulipo namfuata.
Nimemtufuta huyo ng'ombe nimeshindwa
Kwangu ilifeli zaidi ya mara tatu, nikaona isiwe tabu nikaleta dume ndio natumia hivyo mpaka Sasa, dume ananiingizia pesa coz namkodisha kupandisha wananzengo majike yao kwa shilingi kumi elfuKwenye ufugaji wa ngmbe wa maziwa economical kufuga dume tunahesabu kama n hasara kwa sababu y mambo yafuatayo
1. cost za malisho na maji
2.chanjo na tiba
3.dipping or spraying
Note :Haya mambo utayaepuka utumiapo artificial insemination
Lets says unaanza kumlea ndama dume toka amezaliwa
Ndama anapozaliwa anatakiwa kunywa maziwa 10% ya uzito wake mfano ndama dume kazaliwa na uzito wa kilo 30kg asilimia 10% itakua ni lita 3 so anatkiwa kunyweshwa 3L ili aje kua ngmbe bora n mweny afya hili linaendlea kila siku mpaka anafiksha mwez mmoja
So kwa lita 3 kwa mwezi atakua ametumia lita 30
Pia ndama anatkiwa kunyweshwa maziwa mpaka kufkia miezi 3 ambayo jumla kwa makadirio inatakiwa kufkia lita 270
just calculate let say 1L=1500tsh maana ake unakua umepoteza laki 405000 ndani ya miezi 3 ambayo hata ukiamua kuuza h ndama ndama huyo wa miez 3 utomuuza kwa hio bei labd utaishi kuuza kwa bei ya laki 1.5 mpaka laki 2
Note: Bado ataendlea kula majan maji ,atahitaji dawa chanjo na n.k
Faida za kutumia artificial insemination (kupandisha )
1.net inccured cost ni ndogo ukilinganisha na kumfuga dume
2.unakua na nyanja ya kuchagua breed bora ya kupandsha mfano friesian,aryshire jeyser
3.kupunguza uwezekano wa kuambukiza magonjwa km trichonomosis ,brucella
Conclusion kufuga ngmbe dume katika biashara ya ngombe wa maziwa ni hasara siwashauri wafugaji kutumia njia hii kama mnahitaji faida zaidi.kama unahitaji ushauri wa kitahalam unawez kuulza swali hum .
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hojaMimi ng'ombe sisomi kwenye vitabu. Mimi nafuga ng'ombe. I used to 'AI' aiseh hiyo siyo tu ni changamoto lakini hata ubebaji wa mimba kwa mitamba ni inshu. Mfano shamba langu nina majike zaidi ya 10 kila mtaalamu akija kupandisha anataka 20elfu. Na mrija bwana unaweza rudia hata mara tatu ndipo ng'ombe ashike mimba.
Achana na changamoto za kujua yupo kwenye joto au laaah tena wengine wana joto la kisirisiri.
Faida ya dume;
i. Anapanda, na anatambua joto mwenyewe wewe unalisha majani na chanjo tu
ii. Anapanda kwa wakati hivyo kukupunguzia usumbufu
iii. Dume pia hufanya ufugaji kulijua banda lako kinasaba badala ya longolongo za wataalamu maana anaweza kuzisifia mbegu za dume kumbe wala dume hana sifa hizo anazozisema
In fact, your not needed to be mechanical engineer to drive a car.
Dume mzee ni habari nyingine. Huwa anapanda hata usiku ukiamka unakuta habari imeisha
Hio n nzr mkuu km unapata faida kupitia dume kwa njia tofaut km hizo kama unalimsha vizuri atakua na uwezo kupandsha majike wengi kwa mda mfupi na uwez wake unadum mda mrefu faida ztaongzeka.Kwangu ilifeli zaidi ya mara tatu, nikaona isiwe tabu nikaleta dume ndio natumia hivyo mpaka Sasa, dume ananiingizia pesa coz namkodisha kupandisha wananzengo majike yao kwa shilingi kumi elfu
Offcoz swez kukataa kila njia inafaida na hasara zakeNaunga mkono hoja
Kupandisha majike mengine ya mazizi tofauti hakuna magonjwa ya zinaa kwa ng'ombe? Pia huyo dume sidhani kama ni sahihi kudumu naye miaka mingi maana kuna siku atampanda mtoto wake na kusababisha udhaifu wa uzao unaofuata. Nishawahi kufuga nikiwa kwa wazazi, now nataka nianze kuwafuga mwenyewe Bagamoyo naanza kujifunza changamoto zake so sina utaalamu zaidi nauliza nielimike hapa.Kwangu ilifeli zaidi ya mara tatu, nikaona isiwe tabu nikaleta dume ndio natumia hivyo mpaka Sasa, dume ananiingizia pesa coz namkodisha kupandisha wananzengo majike yao kwa shilingi kumi elfu
Huyu ng'ombe (fleckvieh) ni ndoto yangu pia siku moja. Mkuu unafugia pwani? Vipi unapata wastani wa lita ngapi kwa siku? Na ni breed ipi kwako imekuridhisha angalau so far?Nakuomba mkuu usifananishe fleckvieh na mambo ya kijinga
Kama unae dume wa fleckvieh popote ulipo namfuata.
Nimemtufuta huyo ng'ombe nimeshindwa
Huyu ng'ombe (fleckvieh) ni ndoto yangu pia siku moja. Mkuu unafugia pwani? Vipi unapata wastani wa lita ngapi kwa siku? Na ni breed ipi kwako imekuridhisha angalau so far?
Asante sana kwa ushauri, naona cross ya boran na fresian inasifiwa sana lakini naona inaleta tija zaidi kwenye kupambana na magonjwa lakini haina unafuu kwenye utoaji maziwa. Hakuna cross yoyote unayoijua yenye kumhakikishia mfugaji walau lita 15 kiwango cha chini endapo matunzo ni mazuri?Kwa wale mliokua pwan ni vema mkatumia cross breed (chotara ) zaid kulko pure friesian kwa sababu pure friesian afnyi vzr kweny mazngira ya joto
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Sio kustahimili magonjwa tu hata maziwa ya kutosha mkuu sjajùa kwa ngmbe ulowaona kuna changamoto gan nyngn ukiachna na breed malisho na management ndo vnamchngo mkubwa kwnye uzalishaji wa maziwa kuliko hata factor ya breedAsante sana kwa ushauri, naona cross ya boran na fresian inasifiwa sana lakini naona inaleta tija zaidi kwenye kupambana na magonjwa lakini haina unafuu kwenye utoaji maziwa. Hakuna cross yoyote unayoijua yenye kumhakikishia mfugaji walau lita 15 kiwango cha chini endapo matunzo ni mazuri?