Kwenye ufugaji wa ngmbe wa maziwa economical kufuga dume tunahesabu kama n hasara kwa sababu y mambo yafuatayo
1. cost za malisho na maji
2.chanjo na tiba
3.dipping or spraying
Note :Haya mambo utayaepuka utumiapo artificial insemination
Lets says unaanza kumlea ndama dume toka amezaliwa
Ndama anapozaliwa anatakiwa kunywa maziwa 10% ya uzito wake mfano ndama dume kazaliwa na uzito wa kilo 30kg asilimia 10% itakua ni lita 3 so anatkiwa kunyweshwa 3L ili aje kua ngmbe bora n mweny afya hili linaendlea kila siku mpaka anafiksha mwez mmoja
So kwa lita 3 kwa mwezi atakua ametumia lita 30
Pia ndama anatkiwa kunyweshwa maziwa mpaka kufkia miezi 3 ambayo jumla kwa makadirio inatakiwa kufkia lita 270
just calculate let say 1L=1500tsh maana ake unakua umepoteza laki 405000 ndani ya miezi 3 ambayo hata ukiamua kuuza h ndama ndama huyo wa miez 3 utomuuza kwa hio bei labd utaishi kuuza kwa bei ya laki 1.5 mpaka laki 2
Note: Bado ataendlea kula majan maji ,atahitaji dawa chanjo na n.k
Faida za kutumia artificial insemination (kupandisha )
1.net inccured cost ni ndogo ukilinganisha na kumfuga dume
2.unakua na nyanja ya kuchagua breed bora ya kupandsha mfano friesian,aryshire jeyser
3.kupunguza uwezekano wa kuambukiza magonjwa km trichonomosis ,brucella
Conclusion kufuga ngmbe dume katika biashara ya ngombe wa maziwa ni hasara siwashauri wafugaji kutumia njia hii kama mnahitaji faida zaidi.kama unahitaji ushauri wa kitahalam unawez kuulza swali hum .
Sent from my SM-J200H using
JamiiForums mobile app