Aina nzuri ya ng'ombe ni wale chotara wa kienyeji na kisasa ambao wanaweza kuhimili joto la Dar. Pia wa kisasa watazalisha kiasi hicho unachotaka endapo watapata matunzo mazuri.Wakuu nawasalimu sana. Napenda kabla ya yote niappreciate michango yenu hasa katika forum hii, imekuwa ikinisaidia sana. Sasa turudi kwenye uzi huo hapo juu:
Naomba mwenye ushauri juu ya jambo hilo anisaidie please, nipo dar natamani kuanza mradi huo januari mwakani. Mpango ni kuwa na ng'ombe bora kama 10 hivi (wenye uwezo wa kutoa minimum of 10 liters/ng,ombe per day), shamba kwa ajili ya kufugia na kuotesha malisho ya mifugo hiyo (about 6 acres). Naomba ushauri kuhusu yafuatayo:
Mbegu bora ya ng'ombe wa maziwa
Eneo lililopo nje kidogo ya mji ambalo naweza kulitumia( kwa kulinunua)
Ushauri wa namna bora ya kufanya mradi huo.
Please kwa anaejua possible costs za eneo na ng'ombe wazuri nitashukuru.
Teh teh teh teh!
Ng'ombe mwanamke?????
Anyway ngoja waje wahusika watakusaidia.....
Ndugu wasomaji, natafuta ng'ombe wa maziwa mwenye uwezo wa kutoa lita kuanzia 21 na zaidi kwa siku, awe wa uzao wa pili na na ana mimba ya 8months au zaidi. sema na bei. sihitaji dalali. Samahani kama kuna mtu anafahamu wapi naweza pata, naomba anisadie.
Kuna mwarusha mmoja anao ila anadai aliwatoa nje ya nchi sijajua ni wapi ila ni balaa kwa maziwa, anao mitamba ila sujui bei yake
hivi bei ya ng'ombe mwanamke mwenye umri wa mwaka na nusu hadi mitatu ni sh ngapi jamani?
Hebu waone RUVU JKT waweza kupata pale....
ningepata namna ya kuwalisha bila shida ningefurahi.
ningepata namna ya kuwalisha bila shida ningefurahi.
Kwani hufahamu kwamba ng'ombe wanakula majani au unatutania?
Pole sana inabidi uwe na plan B kwamba usipopata ya kununua uwe na eneo la kuotesha au ufuate mbali zaidi. Ufugaji au biashara yoyote ina changamoto zake, kuna msimu chakula kingi au bei rahisi utapata faida tunza ili kipindi cha kiangazi faida ndogo uweze kuikabili hiyo hali. Ukikata tama leo kesho unashangaa wenzio tatizo wamelipatia ufumbuzi. Jaribu kuwasiliana na wafugaji wenzio wapi wanapata majani hasa wale wadogowadogo ndo changamoto zinafananaHabar JF Mimi ni fugaji mkoani Kilimanjaro,nina ng,ombe (4) wote ni jike,tatizo ni chakula chao kinapatikana kwa shida,
kwani hujui kukata majani? moshi majMajani najua kukata lakini upatikanaji wake ni shida,s