Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

Je suala la usalama kwa mtumiaji limezingatiwa?naona mashine ni ya kuzunguka na iko wazi wazi!
 
Je suala la usalama kwa mtumiaji limezingatiwa?naona mashine ni ya kuzunguka na iko wazi wazi!
Imekuwa ikitumika sana na mpaka sasa sijasikia malalamiko yoyote kuhusiana na hali hiyo
 
mkuu nahitaji hii mashine, tuwasiliane 0655 999 884
 
naomba namba yako ya simu mkuu tuwasiliane
 
Mkuu, nyenzo hii ya kurahisisha matayarisho ya chakula cha Mifugo (Ng'ombe) ni nyenzo muhimu sana. Hilo ni dhahiri. Maelezo yako yametiririka vizuri. Kinachonisikitisha ni kuwa baadhi ya Taarifa umeacha kuzibandika kwa misingi kuwa Mwenye kuhitaji aku-PM. Nishindwa kujua ni kwa nini mtu mpaka aku-PM kupata Taarifa za awali kama Aina ya Mashine ulizonazo, zinapatikana wapi, gharama/bei, Guarantee na aratibu za kufuata kwa Mnunuzi. Taarifa kama hizi ninaamini ni za msingi kwenye bandiko kama hili. Sasa, usiri unatoka wapi? Anyways, ngoja waku-PM. Ninafanya mchakato wa kwenye Migori, Kenya kufuata moja!
 
Kuna ng'ombe wa hadi lita 20 kwa siku mpaka 30 ila kuwa makini kupata breed halisi maana matapeli ni wengi mkuu
 
Mkuu Malila thread ni ya muda kidogo lakini ningependa kufahamu kwa mkoa wa Dodoma ni maeneo gani naweza kupata ng'ombe kwa bei nafuu na kwa msimu upi?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Malila thread ni ya muda kidogo lakini ningependa kufahamu kwa mkoa wa Dodoma ni maeneo gani naweza kupata ng'ombe kwa bei nafuu na kwa msimu upi?

Kongwa, Kibakwe kote huko ukienda msimu wa njaa( miezi ya pili mpaka march) au kama utaotea ukame kule Kibakwe Mpwapwa unaweza kukusanya mifugo kwa bei ndogo sana. Ila usitie timu kuanzia april mwishoni mpaka november, labda kama ni mwaka wa ukame.
 
swente!! Kuna kampunga nakategemea mwisho wa mwezi huu nataka nijiingize kwenye ufugaji wa madume waliohasiwa kibiashara. Hili wazo nimelikubali moja kwa moja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…