rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,238
- 5,106
Hapana sio SUA mkuuItakuwa product ya agro sua hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sio SUA mkuuItakuwa product ya agro sua hiyo
Imekuwa ikitumika sana na mpaka sasa sijasikia malalamiko yoyote kuhusiana na hali hiyoJe suala la usalama kwa mtumiaji limezingatiwa?naona mashine ni ya kuzunguka na iko wazi wazi!
Sawa mkuu nakupigiamkuu nahitaji hii mashine, tuwasiliane 0655 999 884
Mara nyingi wafugaji wa Ng'ombe na wanyama wengine wanaokula nyasi , hupata hasara sana wakati wa kuwalisha. Hapa naongelea zaidi wale wanaofuga kisasa (Zero grazing). Wafugaji hutumia nyasi nyingi bila ya kuwa na tija maana nyasi nyingi hupotea.
Wanyama hawa huwa na tabia ya kula kidogo na kuacha sehemu kubwa ya nyasi na kuzikanyaga tu. Bahati mbaya nyasi zikikanyagwa na hata kuguswa tu hawa wanyama hawawei kula tena.
Katika kutatua tatizo hili wanasayansi waligundua ya kwamba nyasi zikikatwakatwa huliwa zote bila kubaki. Kazi ya kukata nyasi kwa wepesi kuna mashine kwa kazi hiyo.
Waliokwisha kuzitumia wansema ng'ombe hula sana na kuongeza maziwa mara dufu na kupunguza kiasi cha nyasi zitupwazo (wastage).
Picha kama kawaida iko hapo chini na kama ukiwa na maswali PM.
Yah. NitakuPM namba yangu mkuunaomba namba yako ya simu mkuu tuwasiliane
Caliandra ndio majani mazuri
Mara nyingi wafugaji wa Ngombe na wanyama wengine wanaokula nyasi , hupata hasara sana wakati wa kuwalisha. Hapa naongelea zaidi wale wanaofuga kisasa (Zero grazing). Wafugaji hutumia nyasi nyingi bila ya kuwa na tija maana nyasi nyingi hupotea.
Wanyama hawa huwa na tabia ya kula kidogo na kuacha sehemu kubwa ya nyasi na kuzikanyaga tu. Bahati mbaya nyasi zikikanyagwa na hata kuguswa tu hawa wanyama hawawei kula tena.
Katika kutatua tatizo hili wanasayansi waligundua ya kwamba nyasi zikikatwakatwa huliwa zote bila kubaki. Kazi ya kukata nyasi kwa wepesi kuna mashine kwa kazi hiyo.
Waliokwisha kuzitumia wansema ngombe hula sana na kuongeza maziwa mara dufu na kupunguza kiasi cha nyasi zitupwazo (wastage).
Picha kama kawaida iko hapo chini na kama ukiwa na maswali PM.
Mkuu Malila thread ni ya muda kidogo lakini ningependa kufahamu kwa mkoa wa Dodoma ni maeneo gani naweza kupata ng'ombe kwa bei nafuu na kwa msimu upi?Hawa wa kienyeji wanachelewa, lakini kuna hawa chotara. Mwezi jana nilifanikiwa kumpata mkulima mmoja na aliniuzia dume chotara kwa laki 3 na nusu. Nakubaliana na ww kabisa,lazima kuwa na mbegu kubwa.Kilichobaki kwangu ni kujenga zizi la kisasa ili niwaongeze wengine. Tafadhali,ukifanikiwa kupata mbegu kubwa nishitue.
Mkuu Malila thread ni ya muda kidogo lakini ningependa kufahamu kwa mkoa wa Dodoma ni maeneo gani naweza kupata ng'ombe kwa bei nafuu na kwa msimu upi?
swente!! Kuna kampunga nakategemea mwisho wa mwezi huu nataka nijiingize kwenye ufugaji wa madume waliohasiwa kibiashara. Hili wazo nimelikubali moja kwa moja...Kongwa, Kibakwe kote huko ukienda msimu wa njaa( miezi ya pili mpaka march) au kama utaotea ukame kule Kibakwe Mpwapwa unaweza kukusanya mifugo kwa bei ndogo sana. Ila usitie timu kuanzia april mwishoni mpaka november, labda kama ni mwaka wa ukame.
Mbuzi ukimhasi ananenepa?