Mradi wa Ufugaji wa Nguruwe unaohitaji Mwekezaji/Mfadhili

Qa people

Member
Joined
May 8, 2020
Posts
56
Reaction score
36
Habari yako mwana Jamiiforum.
Naomba muda wako kidogo kusoma hili wazo langu.

Nina ndoto ya ufugaji wa nguruwe 10 nikiwa na malengo ya kujiajiri na biashara hii. Nimefanya utafiti na kupanga mpango wa biashara, na najua nikipewa nafasi na msaada wa mtaji, nitaweza shughuli hii kwa utumishi uliotukuka, bidii na weledi.

Nahitaji mtaji wa takribani TSh 3.4 , ambao utagharamia ujenzi wa banda, ununuzi wa nguruwe na chakula cha miezi 6. Ndani ya miezi 10_12, ninatarajia matarajio ya TSh 4.8 milioni na faida ya zaidi ya TSh 1.4 milioni.

Niko tayari kwa makubaliano ya kurudisha pesa hiyo au kugawana faida.
Naamini kwa msaada wako, nitafanikisha kirahisi
Niko na mpango kamili wa biashara hili.

Asante kwa muda wako, naomba uzingatie ujumbe huu.
 
jazia jazia
upo wapi
namba ya simu
 
Natamani nikuboost ilaaaaa daaaah upo wap??
 
Habari yako mwana Jamiiforum.
Naomba muda wako kidogo kusoma hili wazo langu.

Nina ndoto ya ufugaji wa nguruwe 10 nikiwa na malengo ya kujiajiri na biashara hii. Nimefanya utafiti na kupanga mpango wa biashara, na najua nikipewa nafasi na msaada wa mtaji, nitaweza shughuli hii kwa utumishi uliotukuka, bidii na weledi.

Nahitaji mtaji wa takribani TSh 3.4 , ambao utagharamia ujenzi wa banda, ununuzi wa nguruwe na chakula cha miezi 6. Ndani ya miezi 10_12, ninatarajia matarajio ya TSh 4.8 milioni na faida ya zaidi ya TSh 1.4 milioni.

Niko tayari kwa makubaliano ya kurudisha pesa hiyo au kugawana faida.
Naamini kwa msaada wako, nitafanikisha kirahisi
Niko na mpango kamili wa biashara hili.

Asante kwa muda wako, naomba uzingatie ujumbe huu.
Mkuu kwa mtaji wako sikushauri kuanza na Nguruwe 10, itakugharimu sana issue ya chakula na matibabu pia ufuge mwenyewe usimwachie mtu
 
Back
Top Bottom