Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhimu ni kwamba ni miongoni mwa miradi ya Kenya iliyoishia njiani baada ya kelele nyingi za kujisifia. Mnajisikiaje mkiona orodha ndefu ya miradi mliyokua mnajisifu ikiwa imeishia njiani?that building is not in nairobi, jengo liko malindi
Hahahaha, lazima utavaa chupi kichwani mwaka huuHata sisi tunajadili miradi iliyoshindikana Tz Kama vile Bagamoyo, ATCL, Pipeline, Kigamboni City, Koroshow, SGR Yani Kila kitu Hadi barabara na njaa Hadi Kila kinyesi, Barrick kutowalipa mabillioni ya $, GDP bado mpo $60b(LDC), Umeme 1350 MW(wapi strugglers gorge). The only successful thing in Tz so far no kuzaaana Kama panya.
It has always been the fact that ndugu zetu hao are afraid of the sleeping giant who has waken up.Wakenya wote wanaugua "Mania mental illness", kupenda kujikweza na kujisifia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Joto la jiwe kukurupuka kwako ni talanta bana, kwhyo wacha kubwekaHahahaha, ninawasikiliza jinsi mnavyoweweseka, ninyi ni watu wa hovyo sana.
1)Kuna wakenya wanasema huu sio mradi wa serikali kwahiyo hawahusiki kwa lolote, kwani Bagamoyo port ulikua ni mradi wa serikali?
2)Tunazungumzia miradi mikubwa iliyoshindikana Kenya, sio lazima iwe Nairobi, ni ujinga kutumia kigezo cha neno Nairobi lililotumiwa katika "headings" kulitumia kujitetea.
3)Vipi Kuhusu hiyo miradi mingine iliyohorodheshwa ambayo yote imeishia njiani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, Watamu ipo squarely in Malindi County, pwani ya Kenya. Mbali sana na jiji la Nairobi.that building is not in nairobi, jengo liko malindi
Hata habari hujui inasemaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muhimu ni kwamba ni miongoni mwa miradi ya Kenya iliyoishia njiani baada ya kelele nyingi za kujisifia. Mnajisikiaje mkiona orodha ndefu ya miradi mliyokua mnajisifu ikiwa imeishia njiani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitokubali kuvaa Kama wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23] ubongo umelalaMleta mada hamna haja ya fujo, kubali tu umechemsha na ujirekebisha. Hakuna uhusiano wowote wa kiuchumi, mradi huo umesimamishwa na shirika linalosimamia masuala ya mazingira. Nakumbuka uliposhindwa kufanya conversion ya KES 712billion kwa $, ukasema ni KES 712million, kisha ukafungua uzi wa kuisifia 'Tz ya viwanda'. Ukidai kwamba bidhaa kutoka kwa viwanda vya Tz vili ingizia Tanzania hela nyingi($ 996million) zaidi ya viwanda vya Kenya 2019. Wakati figure ya kweli ya thamani ya bidhaa kutoka kwa viwanda vya Kenya ilikuwa ni $7.12billion mwaka wa 2019. Kenya Manufacturing sector vs Tanzanian's
Mbona hata Bagamoyo Port Magufuli alieleza sababu za msingi sana zilizomfanya kuukata huo mradi, hapakua na sababu za kiuchumi lakini hamkusikiliza, iweje mnataka tuwasikilize katika hili, jambo muhimu ni kwamba mradi umefutwa, hizo sababu kwanini umefutwa sio muhimuMleta mada hamna haja ya fujo, kubali tu umechemsha na ujirekebisha. Hakuna uhusiano wowote wa kiuchumi, mradi huo umesimamishwa na shirika linalosimamia masuala ya mazingira. Nakumbuka uliposhindwa kufanya conversion ya KES 712billion kwa $, ukasema ni KES 712million, kisha ukafungua uzi wa kuisifia 'Tz ya viwanda'. Ukidai kwamba bidhaa kutoka kwa viwanda vya Tz vili ingizia Tanzania hela nyingi($ 996million) zaidi ya viwanda vya Kenya 2019. Wakati figure ya kweli ya thamani ya bidhaa kutoka kwa viwanda vya Kenya ilikuwa ni $7.12billion mwaka wa 2019. Kenya Manufacturing sector vs Tanzanian's
Nimeweka zaidi ya miradi kumi iliyopigwa kalama, ninyi ni watu wa kupenda sifa tu, hamna lolote mnalowezaJoto la jiwe kukurupuka kwako ni talanta bana, kwhyo wacha kubweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, Watamu ipo squarely in Malindi County, pwani ya Kenya. Mbali sana na jiji la Nairobi.
Hahaaa!!tatizo sio kupigwa kalamu jomba, ila ujue we ni mkurupukaji tu kila siku.Nimeweka zaidi ya miradi kumi iliyopigwa kalama, ninyi ni watu wa kupenda sifa tu, hamna lolote mnaloweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Km ulivyokurupuka kuleta habari ambayo hata hujui inasema nn[emoji122][emoji122][emoji122]Location sio muhimu, muhimu ni kwamba lipo ndani ya Kenya, hivyo kuongeza idadi ya miradi ndani ya Kenya iliyokwama njiani kwa ujinga wenu wa kupanga miradi kwa kukurupuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe hata hajasema,Bora ameona Kenya mahali kwa sentensiKm ulivyokurupuka kuleta habari ambayo hata hujui inasema nn[emoji122][emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukwepa mada, ninyi ni watu wa hovyo sana, kukosea location na kupanga miradi zaidi ya kumi na yote kuishia njiani, wapi ni wakurupukaji zaidi?, Kupeleka jeshi Somalia kupigana vito msivyoviweza bila kujipanga uzuri huo ndio ukichaa wenu. Wakurupukaji wakubwa sana ninyi, kila mbaloanzisha linawashinda, hovyo sana ninyiHahaaa!!tatizo sio kupigwa kalamu jomba, ila ujue we ni mkurupukaji tu kila siku.
Wewe ni pure definition ya watanzania wengi walivyo, wavivu na ni wajuaji katika masuala yasiyokuwa level yao..
Nenda hko jf fb ukaone type yako walivyowataalamu wa mambo mengi..
Km vile COVID-19, vita vya marekani na yule m'pearsia nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora kukurupuka katika kuandika, kuliko kuchukua mkopo wa zaidi ya $5B mkajenga reli ambayo imeishia poriniKm ulivyokurupuka kuleta habari ambayo hata hujui inasema nn[emoji122][emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app