Mradi wa ujenzi wa jengo refu kuliko yote Nairobi wafutwa

Mradi wa ujenzi wa jengo refu kuliko yote Nairobi wafutwa

Hata sisi tunajadili miradi iliyoshindikana Tz Kama vile Bagamoyo, ATCL, Pipeline, Kigamboni City, Koroshow, SGR Yani Kila kitu Hadi barabara na njaa Hadi Kila kinyesi, Barrick kutowalipa mabillioni ya $, GDP bado mpo $60b(LDC), Umeme 1350 MW(wapi strugglers gorge). The only successful thing in Tz so far no kuzaaana Kama panya.
Hahahaha, lazima utavaa chupi kichwani mwaka huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1583218646583.png

We are usually unbowed,Africa and the world must know that Upper hill is the stop shop!
 
Mleta mada hamna haja ya fujo, kubali tu umechemsha na ujirekebishe. Hakuna uhusiano wowote wa kiuchumi, mradi huo umesimamishwa na shirika linalosimamia masuala ya mazingira. Nakumbuka uliposhindwa kufanya conversion ya KES 712billion kwa $, ukasema kwamba ni KES 712million, kisha ukafungua uzi wa kuisifia 'Tz ya viwanda'. Ukidai kwamba bidhaa kutoka kwa viwanda vya Tz vili ingizia Tanzania hela nyingi($ 996million) zaidi ya viwanda vya Kenya 2019. Wakati figure ya kweli ya thamani ya bidhaa kutoka kwa viwanda vya Kenya ilikuwa ni $7.12billion mwaka wa 2019. Zaidi ya mara saba ya thamani ya bidhaa zilizouzwa 2019 kutoka kwa viwanda vya Tz. Kenya Manufacturing sector vs Tanzanian's
 
Hahahaha, ninawasikiliza jinsi mnavyoweweseka, ninyi ni watu wa hovyo sana.
1)Kuna wakenya wanasema huu sio mradi wa serikali kwahiyo hawahusiki kwa lolote, kwani Bagamoyo port ulikua ni mradi wa serikali?
2)Tunazungumzia miradi mikubwa iliyoshindikana Kenya, sio lazima iwe Nairobi, ni ujinga kutumia kigezo cha neno Nairobi lililotumiwa katika "headings" kulitumia kujitetea.
3)Vipi Kuhusu hiyo miradi mingine iliyohorodheshwa ambayo yote imeishia njiani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Joto la jiwe kukurupuka kwako ni talanta bana, kwhyo wacha kubweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada hamna haja ya fujo, kubali tu umechemsha na ujirekebisha. Hakuna uhusiano wowote wa kiuchumi, mradi huo umesimamishwa na shirika linalosimamia masuala ya mazingira. Nakumbuka uliposhindwa kufanya conversion ya KES 712billion kwa $, ukasema ni KES 712million, kisha ukafungua uzi wa kuisifia 'Tz ya viwanda'. Ukidai kwamba bidhaa kutoka kwa viwanda vya Tz vili ingizia Tanzania hela nyingi($ 996million) zaidi ya viwanda vya Kenya 2019. Wakati figure ya kweli ya thamani ya bidhaa kutoka kwa viwanda vya Kenya ilikuwa ni $7.12billion mwaka wa 2019. Kenya Manufacturing sector vs Tanzanian's
[emoji23][emoji23][emoji23] ubongo umelala

Mbona hata Bagamoyo Port Magufuli alieleza sababu za msingi sana zilizomfanya kuukata huo mradi, hapakua na sababu za kiuchumi lakini hamkusikiliza, iweje mnataka tuwasikilize katika hili, jambo muhimu ni kwamba mradi umefutwa, hizo sababu kwanini umefutwa sio muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Location sio muhimu, muhimu ni kwamba lipo ndani ya Kenya, hivyo kuongeza idadi ya miradi ndani ya Kenya iliyokwama njiani kwa ujinga wenu wa kupanga miradi kwa kukurupuka
Kweli kabisa, Watamu ipo squarely in Malindi County, pwani ya Kenya. Mbali sana na jiji la Nairobi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeweka zaidi ya miradi kumi iliyopigwa kalama, ninyi ni watu wa kupenda sifa tu, hamna lolote mnaloweza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!!tatizo sio kupigwa kalamu jomba, ila ujue we ni mkurupukaji tu kila siku.

Wewe ni pure definition ya watanzania wengi walivyo, wavivu na ni wajuaji katika masuala yasiyokuwa level yao..
Nenda hko jf fb ukaone type yako walivyowataalamu wa mambo mengi..
Km vile COVID-19, vita vya marekani na yule m'pearsia nk

Acha kukwepa mada, ninyi ni watu wa hovyo sana, kukosea location na kupanga miradi zaidi ya kumi na yote kuishia njiani, wapi ni wakurupukaji zaidi?, Kupeleka jeshi Somalia kupigana vito msivyoviweza bila kujipanga uzuri huo ndio ukichaa wenu. Wakurupukaji wakubwa sana ninyi, kila mbaloanzisha linawashinda, hovyo sana ninyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom