Mradi wa ujenzi wa jengo refu kuliko yote Nairobi wafutwa

Mradi wa ujenzi wa jengo refu kuliko yote Nairobi wafutwa

Bora kukurupuka katika kuandika, kuliko kuchukua mkopo wa zaidi ya $5B mkajenga reli ambayo imeishia porini

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooo!!mlianza kusema hatutojenga, mkasema tena haitofika naivasha, sai mnahaha hku ukisahau km 600km zimetandikwa tayari...ngoja ifike kisumu useme haitofika malaba halafu baada ya malaba utamalizia na kusema haitofika uganda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Ujinga pia nikujisifu una mihela hku serikali inashindwa hata kulipa vile vijisenti vya wakulima wa kororsho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kukwepa mada, ninyi ni watu wa hovyo sana, kukosea location na kupanga miradi zaidi ya kumi na yote kuishia njiani, wapi ni wakurupukaji zaidi?, Kupeleka jeshi Somalia kupigana vito msivyoviweza bila kujipanga uzuri huo ndio ukichaa wenu. Wakurupukaji wakubwa sana ninyi, kila mbaloanzisha linawashinda, hovyo sana ninyi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukichaa ni kushindwa kuwadhibiti watanzania ambao wanavuka mipaka na kwenda kujiunga na hao wanamgambo wa al-shabab...

Tena huingia na kutoka wakijiskia, kuwakamata mmeshindwa hadi tuwasaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooooo!!mlianza kusema hatutojenga, mkasema tena haitofika naivasha, sai mnahaha hku ukisahau km 600km zimetandikwa tayari...ngoja ifike kisumu useme haitofika malaba halafu baada ya malaba utamalizia na kusema haitofika uganda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Ujinga pia nikujisifu una mihela hku serikali inashindwa hata kulipa vile vijisenti vya wakulima wa kororsho

Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri wenu wa fedha ndiye aliyesema reli haiwezi kufika Kisumu wala Malaba sio sisi, umesoma hiyo article au kama kawaida yenu kukurupuka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nema walikuwa wapi? wakaacha wakachimba? who pays for the cost incurred?
Uchimbaji ilifanyika wapi? Hebu leta picha ya mahali uchimbaji ilifanyika. That building was still in proposal stage, nothing had been done other than designs. Wacha kutangazia ulimwengu ulivyo mjinga
 
Ukichaa ni kushindwa kuwadhibiti watanzania ambao wanavuka mipaka na kwenda kujiunga na hao wanamgambo wa al-shabab...

Tena huingia na kutoka wakijiskia, kuwakamata mmeshindwa hadi tuwasaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ninyi mlishindwa kuwadhibiti majambazo wenu toka Kenya waliokuwa wanavuka mpaka kuja kuvamia katika Benki zetu?, ila kutokana na uimara wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama tuliwatuliza haraka sana, hawawezi kujaribu kuja Tanzania, ujambazi wao wanafanya huko kwenu, kwanini mnashindwa kuwadhibiti hao watanzania wanaojiunga na Alshabaab?, jibu ni kwamba, vyombo vya ulinzi na usalama vya Kenya ni dhahifu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni juzi tuu nilimwuuliza ichoboy01 kuhusu hili jengo maana niliona kimya kimekuwa kingi, Nicxie akaja pupa toka huko alikotoka na kuanza kutukana.
You are just as stupid as your fellow Tanzanians. The link your fellow bimbo provided here talks about Palm Exotica in Watamu, South coas but the headline mentions Nairobi. How is Nairobi and Watamu in Kwale County connected? The project you inquired about is Pinaccle in Upper hill Nairobi, while this link talks about a project in Coastal Kenya. Hata kufunglia links na kusoma ni shida Kwenu? Shenzi types!!
 
Mbona ninyi mlishindwa kuwadhibiti majambazo wenu toka Kenya waliokuwa wanavuka mpaka kuja kuvamia katika Benki zetu?, ila kutokana na uimara wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama tuliwatuliza haraka sana, hawawezi kujaribu kuja Tanzania, ujambazi wao wanafanya huko kwenu, kwanini mnashindwa kuwadhibiti hao watanzania wanaojiunga na Alshabaab?, jibu ni kwamba, vyombo vya ulinzi na usalama vya Kenya ni dhahifu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwahahaaa!!kushika majambazi ni nn..swala dogo sana hilo, hata wanakijiji wanaweza washughulikia..

Kamateni kwanza hao magaidi ambao wanatokea hko tanzania hadi somalia na wala uhamiaji hawana lolote wajualo zaidi ya kuwapigia mihuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wenu wa fedha ndiye aliyesema reli haiwezi kufika Kisumu wala Malaba sio sisi, umesoma hiyo article au kama kawaida yenu kukurupuka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio uhuru wakujieleza, basi ulimskia nani akiweweseka na hayo maneno yake..
Lkn angeliyasema waziri wenu hko, ndani ya masaa ishirini angelikuwa amesweka ndani na kupewa kesi ya kutaka kuleta taharuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwahahaaa!!kushika majambazi ni nn..swala dogo sana hilo, hata wanakijiji wanaweza washughulikia..

Kamateni kwanza hao magaidi ambao wanatokea hko tanzania hadi somalia na wala uhamiaji hawana lolote wajualo zaidi ya kuwapigia mihuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ninyi hata ujambazi huko kwenu mumeshindwa kuidhibiti, sasa hivi Kenya ni miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa ujambazi hapa Afrika.

Jambo la kushangaza ni kwamba, watanzania wanaokwenda kujiunga na Alshabaab lazima wapitie Kenya, vipi mshindwe kuwakamata wakiwa hapo Kenya?, badala yake mnataka sisi tuwafanyie hiyo kazi, acheni uzembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndio uhuru wakujieleza, basi ulimskia nani akiweweseka na hayo maneno yake..
Lkn angeliyasema waziri wenu hko, ndani ya masaa ishirini angelikuwa amesweka ndani na kupewa kesi ya kutaka kuleta taharuki

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kugeuza mada, somo husika hapa ni kwamba reli imeishia porini, mlikurupuka bila kufanya utafiti wa kutosha, sasa reli imeishia porini, haina uwezo wa kurudisha mkopo kwasababu ni useless

Wacha kulialia jomba, nimekujibu kulingana na comment..na km ni kuhusu kujeuza mada basi wewe ndio uko nje kabisa baada ya kuona ulichemsha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ninyi hata ujambazi huko kwenu mumeshindwa kuidhibiti, sasa hivi Kenya ni miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa ujambazi hapa Afrika.

Jambo la kushangaza ni kwamba, watanzania wanaokwenda kujiunga na Alshabaab lazima wapitie Kenya, vipi mshindwe kuwakamata wakiwa hapo Kenya?, badala yake mnataka sisi tuwafanyie hiyo kazi, acheni uzembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujamaa umewapumbuza, yani mtu anaingia na kutoka we unamuangalia tu..
Hata ule umbea wenu mmeshindwa kuutumia kuwakamata hao magaidi..

Na kuhusu majambazi kenya wanatambua serikali haicheki nao..ukizengua unakula shaba brathee..

Maisha yakikushinda mjini rudi kijijini ukatulie na mishe mishe zingine

Mbona hadi sasa Kenya inaongoza kwa ujambazi Afrika?, ninyi ni wazembe sana, polisi wenu na wanajeshi wote ni wazembe, kazi yao kubwa ni kupokea rushwa, wakiona Alshabaab wanakimbia, bure kabisa ninyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ingekua ni habari kama ingekua ni wawekezaji wenyewe wameamua kukimbia Kenya kwasababu ya uchumi, usalama, ufisadi...n.k lakini sio eti kwasababu NEMA imekataa hilo jengo kua hapo kwenye ufuo wa Bahari na inakiuka sheria na matakwa ya NEMA.

Hio ni sawa na kama sisi wakenya tungeanza kucheka pale JPM alipowakataza Acacia ku chimba na ku export dhahabu nje ya Tanzania kwasababu mtindo wao wa biashara ulikua unakiuka sheria za TZ.....

BTW, The Pinnacle tower ambayo inajengwa Nairobi ilikua ndo itakua the tallest building in Africa at 300m, Kabla hata imalizwe ndo wakaja hawa wa Palm exotica ambao wanataka kujenga 370m building kule Watamu ambayo ndo ingekua tallest in Africa... Kwahivyo hata kama kuna delay ya kujenga hilo jengo huko Watamu, Bado hilo jengo la pinnacle Nairobi ndo litakua tallest!!!!
 
Aisee wana white elephant kibao inabidi waanzishe mbuga! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 
Mbona hadi sasa Kenya inaongoza kwa ujambazi Afrika?, ninyi ni wazembe sana, polisi wenu na wanajeshi wote ni wazembe, kazi yao kubwa ni kupokea rushwa, wakiona Alshabaab wanakimbia, bure kabisa ninyi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa!!naona sasa unatafuta pakutokea, huu mchezo hauhitaji hasira..

Kuja kenya uwe jambazi ama ukajiumge na wanamgambo somalia halafu uone km hutopasuliwa hicho kichwa chako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, ndio maana huwa nawaambia msome taarifa kwanza kabla ya kucomment. Yaani hata mleta mada hujaona kwamba wawekezaji wamenyimwa vibali na NEMA(National Environmental Management Authority), shirika la kiserikali la kushughulikia masuala ya mazingira? [emoji1] Kisha wakaambiwa kwamba wabadilishe design au watafute site nyingine. Hivi nyinyi wanakwaya huwa mmerogwa au? [emoji23] Kuna hadi watu wanaipa taarifa like na wengine wanatutaja taja na tags ambazo hata hazifanyi kazi! [emoji38] Tena mradi wenyewe sio wa serikali. Nicxie, hawa watu wana matatizo ya akili, eti wanasema ni mradi wa jijini Nairobi wakati imeandikwa wazi kwamba ni Watamu, Pwani!
These nicompoops can't take a minute to reason. Yani someone is quick to provide links that they do not even know/understand their content!! Hawa mibongolala ni vilaza wa mwisho
 
Ona sasa, uchimbaji wenyewe ambao unafanywa kwenye ufukwe baharini si ndio umefanya NEMA wakisamisha mradi huo? Kulingana na NEMA wawekezaji wamekiuka 'plans', 'framework' zote na 'regulations' za NEMA kwenye mradi wa sampuli hiyo. Jombaa, hiyo taarifa inajieleza wazi tu, tena ni fupi na ukiisoma hata mara tano haitakupotezea sekunde 90. Huu uelewa wako finyu unatilia sana mashakani elimu yako. Kumbe wewe ni mmoja wa walioenda shuleni kuiba miwa? [emoji1]
Huyu ni wa Saint Kayumba primary 😂 😂
 
Hahahaha, ninawasikiliza jinsi mnavyoweweseka, ninyi ni watu wa hovyo sana.
1)Kuna wakenya wanasema huu sio mradi wa serikali kwahiyo hawahusiki kwa lolote, kwani Bagamoyo port ulikua ni mradi wa serikali?
2)Tunazungumzia miradi mikubwa iliyoshindikana Kenya, sio lazima iwe Nairobi, ni ujinga kutumia kigezo cha neno Nairobi lililotumiwa katika "headings" kulitumia kujitetea.
3)Vipi Kuhusu hiyo miradi mingine iliyohorodheshwa ambayo yote imeishia njiani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali: Mradi ni wa Watamu South coast ila ulitaja Nairobi kwa headline, do you even know what you are talking about? Je, ulisoma hiyo link yako kabla hata ya kufungua uzi?
 
Back
Top Bottom