komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Ooooo!!mlianza kusema hatutojenga, mkasema tena haitofika naivasha, sai mnahaha hku ukisahau km 600km zimetandikwa tayari...ngoja ifike kisumu useme haitofika malaba halafu baada ya malaba utamalizia na kusema haitofika uganda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..Bora kukurupuka katika kuandika, kuliko kuchukua mkopo wa zaidi ya $5B mkajenga reli ambayo imeishia porini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga pia nikujisifu una mihela hku serikali inashindwa hata kulipa vile vijisenti vya wakulima wa kororsho
Sent using Jamii Forums mobile app