Mradi wa ujenzi wa jengo refu kuliko yote Nairobi wafutwa

Muhimu ni kwamba ni miongoni mwa miradi ya Kenya iliyoishia njiani baada ya kelele nyingi za kujisifia. Mnajisikiaje mkiona orodha ndefu ya miradi mliyokua mnajisifu ikiwa imeishia njiani?

Sent using Jamii Forums mobile app
well hio news article yako inasema ni coz of environmental factors. plus kusema the project is in nairobi you are misleading people
 
Ninarudia tena, "main subject of the news is unfulfilled projects", bila kujali sababu za kutotimia kwa huo mradi. Magufuli alitoa sababu nzuri zaidi ya hizi zenu zilizomfanya afute mradi wa Bagamoyo Port, lakini hamkukubali hadi leo, vipi mnataka tukubali hizi sababu zenu ambazo sio muhimu ukilinganisha na zile za Bagamoyo Port?

Kwa hivyo utunzaji wa mazingira sio muhimu? Look at how this bongolala zombie is reasoning
 
Back
Top Bottom