Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kigamboni ulioanzishwa na NSSF (Dege Eco Village) unapigwa mnada

Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kigamboni ulioanzishwa na NSSF (Dege Eco Village) unapigwa mnada

Kama mnavyoelewa
Nssf kuna uchafu mwingi ulifanyika wakati wa ramadhan dau,

Sasa ufisadi wa bilion 900 kupitia mradi wa ujenzi wa DEGE mji mpya kigamboni umeichanganya serikali ya awamu ya tano mpaka majengo yanapigwa mnada,

Pitia video

 
Usikute Dr D pale NSSF alikuwa na kazi maalum kama yule prof wa almasi na makinikia ndo mtindo wa dakika za mwisho
 
Usikute Dr D pale NSSF alikuwa na kazi maalum kama yule prof wa almasi na makinikia ndo mtindo wa dakika za mwisho
Magufuli mwenyewe Usikute alipewa wizara ya ujenzi wakat wa jk kwa kazi maalumu na kufuta mikataba ilikuwa moja ya kazi hizo.
 
mimi nathani hawa Yono hawana capacity au uwezo,experience na exposure wa kuuza such things.Watabakia wauza magari na nyumba za watu kwa majungu. They need to take this job seriously and professionally.
 
Mradi mkubwa wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam uitwao Dege Eco Village, ulioanzishwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii 'NSSF' ulisimama mwaka 2016 huku ikiripotiwa kuwapo kwa ufisadi wa zaidi ya TSH bilioni 179 katika mradi huo.
Cha kufahamu ni kwamba sasa anatafutwa muwekezaji kwenye mradi huo na kazi hiyo wamepewa kampuni ya udalali ya Yono
Mradi huo unaelezwa kuwa na thamani ya dola za Kimarekani milioni 350 sawa na shilingi bilioni 78 za Tanzania



Chanzo: Millard Ayo
Ufisadi wa bilioni 179 wakati mradi ni wa dilioni (bilioni) 78? Kwa mwenye uelewa wa hii kitu anisaidie kufahamu kinachozungumzwa hapa.
 
Kuna mtu anagundu. Kila anachogusa hakizai matunda zaidi ya kuoza tu.
 
Me nadhani hizo pesa wanazotumia kujenga hostels za wanafunzi , wangezitumia katika mradi huo ili kukamilisha mradi huo na kuwapangisha wanafunzi . Maana hata kama yakikamilika sidhani kama kutakuwa na wananchi wanaoweza kuhimili beingya nyumba na apartment hizo. Police, magereza, wanafunzi wanalia kuhusiana na makazi . La sivyo yatabakia kuwa magofu kwa kipindi kirefu.
 
Huo ndio mchemsho namba one Yono wapi na wapi au deal limepita Ili Mkulu atasitisha na TIC itachukua jukumu
 
Mimi niliwambia si kigamboni tu mijengo inaoteshwa kila kukicha.
Mwisho wake yatakosa wapangaji.
OCCUPACY 35%
 
Back
Top Bottom