Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Duu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli mwenyewe Usikute alipewa wizara ya ujenzi wakat wa jk kwa kazi maalumu na kufuta mikataba ilikuwa moja ya kazi hizo.Usikute Dr D pale NSSF alikuwa na kazi maalum kama yule prof wa almasi na makinikia ndo mtindo wa dakika za mwisho
Ufisadi wa bilioni 179 wakati mradi ni wa dilioni (bilioni) 78? Kwa mwenye uelewa wa hii kitu anisaidie kufahamu kinachozungumzwa hapa.Mradi mkubwa wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam uitwao Dege Eco Village, ulioanzishwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii 'NSSF' ulisimama mwaka 2016 huku ikiripotiwa kuwapo kwa ufisadi wa zaidi ya TSH bilioni 179 katika mradi huo.
Cha kufahamu ni kwamba sasa anatafutwa muwekezaji kwenye mradi huo na kazi hiyo wamepewa kampuni ya udalali ya Yono
Mradi huo unaelezwa kuwa na thamani ya dola za Kimarekani milioni 350 sawa na shilingi bilioni 78 za Tanzania
Chanzo: Millard Ayo
Wengine wasyapewa kazi za ubaloziWaliokwamisha na kuibia shirika mbona hawafikishwi mahakamani? Huo si uhujumu uchumi na ufisadi?
Hivi hii awamu ya 5 inaweza kuendeleza nini ?
Majizi dau na miarabu yake yalitaka nssf ikufe, huyu dau wa kunyongwaMambo yote mazuri yaliyoanzishwa na tawala zilizopita yanaharibiwa
Kulipa sio shida ila shida Ni namlipa naniChakufanya ni kulipa hela
Mbona rahisi tu,Kulipa sio shida ila shida Ni namlipa nani
Sawa mkuu nimeerewaMbona rahisi tu,
Waone Yono au wasiliana na NSSF kitengo cha masoko