Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli mwenyewe anajua,pesa za nssf ndio zilizotumika kumwingiza ikulu baada ya magabacholi kama akina Manji,Sabodo na wengine kugoma kukidhamini chama.Hii ndio sababu ya Rais kushindwa kugusa hilo jipu.Maana hill sio jibu ni tambazi nyama na likitumbuka hakai mtu.Dr Dau ni season ya 2 ya Daud Balali
Chimbo la Chatu kwa ajili ya Kutesea wakosoaji.Hivi hii awamu ya 5 inaweza kuendeleza nini ?
Huyo jamaa wamemuokota huko machinjioni vile. Anajidai eti ameishi UK (United Kingdom) miaka 15, nadhani huyu alimaanisha ni Ukonga vile.Yote tisa. Kumi ni hiyo English ya huyo jamaa( diaspora)
Hahahahah [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][we aze tanzanians who lives in united kingidomu we have many many complications so i want to teli zemu zat here zere iz swiming pool]
huyo mdau anayumba
Jamaa sijui wanamuelewa vipi huko United Kingidomuhahahaha mpaka imenibidi ninukuu baadhi ya maneno yake kama alivyoyasema