Habari za bwawa la nyerere kutosheleza nchi nzima zimekaa kisiasa. AKatika hali ya kuwekeza viwanda vizito huko mbele hio ziada unayo isema itatosha? Leo watanzania wote tukisema tutumie majiko ya umeme hiyo ziada itatoka wapi?Juzi niliona uwekaji sahihi kuhusu Mradi wa umeme utakaojengwa Mto Malagarasi mkoani Kigoma. Nilijiuliza, kama tutakuwa na Mradi mkubwa Julius Nyerere Hydro Electric Power ambayo itatosheleza nchi nzima na kuuza ziada, Je ni kwa nini tunapoteza fedha tena kujenga mradi wa umeme kule Malagarasi?.
Yeah Inapendeza san
Aisee kiukweli bado tupo chini sanaUnatakiwa Kifikiria Kesho sio Leo
Wenzetu wapo kwenye 10000Mw
Sie bado tunapigania Kuifikia 5000
Bado Tunasafari Japo Viongozi tulio Nao Ndio Mtihani Mkuu mungu Ametupa Watanzania
Nakupa mfano mmoja ili uelewe ninachosema. Uwanja wa Uhuru una uwezo wa kujaza watu 20,000. Serikali iliposema inajengs uwanja wa Mkapa wa watu 60,000 nilijiuliza watu watatoka wapi. Cha ajabu umejengwa, watu wanajaa.Juzi niliona uwekaji sahihi kuhusu Mradi wa umeme utakaojengwa Mto Malagarasi mkoani Kigoma. Nilijiuliza, kama tutakuwa na Mradi mkubwa Julius Nyerere Hydro Electric Power ambayo itatosheleza nchi nzima na kuuza ziada, Je ni kwa nini tunapoteza fedha tena kujenga mradi wa umeme kule Malagarasi?.