Serikali imefanya utafiti wa kutosha kabisa ndo maana ikaamua kuweka huo mradi,tunaingia hasara kubwa na gharama kubwa sana juu ya umeme wa tanesco na hasa matumizi ya mafuta,kwani huo urithi wa dunia unao sema unatupatia nini hasa faida kwa wananchi kama sio jina tu la urithi wa dunia,na vihela vidogo vya watalii,sisi tunajenga halafu tunaweka njia mbadala za kufanya viumbe visihathirike ambavyo kwenye biblia na quoran mungu amesema tusiwe na huruma na viumbe kama wale,ndo maana tunachinja kuku na kula