Mrakibu Msaidizi wa Polisi Fatuma Kigondo afunguliwa shtaka la kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti wa Yombo

sasa mkuu mbona hiyo document inaonyesha mshtaki sio jamhuri bali ni mtu binafsi huyo Paul kwani sheria zetu zinaruhusu mtu binafsi kufungua mashtaka ya jinai? hiyo si kazi ya DPP kupitia polisi kwa ajili ya upelelezi au.!
Mtu binafsi anaruhusiwa kufungua criminal case as per section 128 (2) and (4) of the Criminal Procedure Act.
 
sasa mkuu mbona hiyo document inaonyesha mshtaki sio jamhuri bali ni mtu binafsi huyo Paul kwani sheria zetu zinaruhusu mtu binafsi kufungua mashtaka ya jinai? hiyo si kazi ya DPP kupitia polisi kwa ajili ya upelelezi au.!
Fake document!
 
Wiki moja baada ya kutoka Arusha nilishuhudia binadamu wakichomwa moto pale "Picnic" tena mchana kweupe.
Kilichonisikitisha sana ni adhabu iliyotolewa kwe wezi wale wa vitu vidogo vidogo wakati waharifu wakubwa kama huyo afande na wezi wengine wa mali ya umma wakilindwa na kuepushwa na Dola kukabili hukumu zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…